Heheehe baba yao siyupo mkuu wa jiji ...biashara inakuwaje ngumu kwaoTatizo kwa Diamond mgawo ni wengi. Na madawa ya kulevya biashara Magufuli kabana. Sasa kisa ni popular kishajiona anafaa kuwa mbunge. Any way ni haki yake kikatiba.
Kama ni rahisi unavyodhani kachukue fomu ccm upitishwe wewe! Kazi ya kafara inaanzia stage 1 ambayo ndo kura za maoni mpaka kuja kuwa mbungeHuko Morogoro vijijini kwa uelewa wa watu kule ukipitishwa na ccm unaishinda huhitaji hata kafara ya kuku. Wananchi kule wako dunia nyingine kabisa
Jamaa ana kichaa huyo sio bure... Abood amewafanya watu wa Moro kama sehemu ya family yake .... So kujipambanisha nae anajidanganya .. Abood tangu miaka ya 80 anatoa huduma mbali mbali katika mji wa morogoro ukiachilia mbali ajira alizowapa wakazi wa mkoa huo...yeye anajipi jipya la kuisaidia Moro ? Ambalo abood hajawahi kulifanyaIla kumtoa Abood moro mjini ni shughuli sana na wananchi wanamkubali mno uyo babutale akamuulize afande sele alipata kula ngapi 2015
Inasadikika jamaa alimtoa kafara mpaka mdingi wake ...na hivi yupo na yule domo basi kazi ipoAmkeni amkeni, kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah, Heeeeh haya sasa kafara imeshatolewa, Now yupo bizze na mchakato majonzi tupa kule, Ubunge mtamu jamanii uwiiiiiiiiiiiiiiih.
Ndiyo kwa sababu alikuwa anauza madawa. Sallam pia aliwahi kuishi Sweden kazi yake kubwa ilikuwa dealer. Aliona mambo hayaendi kwanza hakuwa na makaratasi ndo akajirudia bongo akaendeleza kuuza ganda huku akijificha kwenye mission town. Mwishowe akaanza kumanage wasanii ambao ni mapunda pia.Sallam kapigwa stop kuingia USA zamani sana enzi za ujana anaishi majuu aliharibu.. kabla hata diamond hajaanza kuimba na wala hajui kama kuna mtu anaitwa sallam
Kusema ukweli waganga wanampoteza.Inasadikika jamaa alimtoa kafara mpaka mdingi wake ...na hivi yupo na yule domo basi kazi ipo
Mimi si mpenzi wa siasa chafu za nchi hii kulogana tu na ujinga kichwani, siku siasa zikiwa Safi za kuletea wananchi maendeleo nitajaribuKama ni rahisi unavyodhani kachukue fomu ccm upitishwe wewe! Kazi ya kafara inaanzia stage 1 ambayo ndo kura za maoni mpaka kuja kuwa mbunge
Mkuu umeyaona hayo ??Duhhhh ndoa hizi ndoa...
Huyo mama dangote na yeye ipo siku atatolewa kafara tu awe makini, umaarufu na uganga ni hatariInasadikika jamaa alimtoa kafara mpaka mdingi wake ...na hivi yupo na yule domo basi kazi ipo
Yeye mwenyewe ndiye gwiji la uchawi ...wanaanzaje kumtoa kafara kwa mfanoHuyo mama dangote na yeye ipo siku atatolewa kafara tu awe makini, umaarufu na uganga ni hatari
Usawa huu wa Magufuli kiurahisi hivi hiviHeheehe baba yao siyupo mkuu wa jiji ...biashara inakuwaje ngumu kwao
Chezea talle weyeeeh mlozi wa kiwango cha uprofesseli asiejua n nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu kiumbe hata aibu hana khaaaaahInasadikika jamaa alimtoa kafara mpaka mdingi wake ...na hivi yupo na yule domo basi kazi ipo
Vee alisema ukweli tukamchekaKumbe madawa yalikuwa Yana save wengi si ajabu diamond Yuko hoi kiuchumi, show off za ig tu, alijisemea zake ukweli Vanessa kuhusu huu mziki
[emoji23][emoji23][emoji23] dah hatari Sana waswahili Wana Mambo, Bora hajaoa huyo maana kukutoa kafara Kama kunywa maji tuYeye mwenyewe ndiye gwiji la uchawi ...wanaanzaje kumtoa kafara kwa mfano
Halafu akiona camera ndo anaacha mdomo waziMimi niliona tu sanaa na usanii tangu alivyokuwa analia siku ile ya kwanza mpaka mazishini ni mwendo wa show off tu. Wanaume hatuliagi wala kuomboleza vile.
Ndo maana wamepooza nowdays[emoji848]Enzi za JK hawa walikuwa wakisafiri wanabeba na ganda.Mpaka leo Sallam kapigwa stop kuingia USA.
Hata safari safari hakuna siku hizi kama kipindi kileeEnzi za JK hawa walikuwa wakisafiri wanabeba na ganda.Mpaka leo Sallam kapigwa stop kuingia USA.