Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,
Punguza wenge mkuu, kunywa maji mengi..!
 
Usituharibie pesa yetu! Hakuna tija katika hilo !
 
Mkuu ni wazo la babu tale mbona hijamctrdit
 
Umerogwa wewe siyo bureee
 
Huyu jamaa huwaga ni mjinga wa kupindukia ni aibu kwa taifa kuwa na mbunge wa namna hii wakati wasomi wanaostahili hiyo nafasi wapo wengi wa kukava nafasi!
 
T
us tu hadi tupate mtu mwenye kustahii kuwekwa kwenye fedha yetu.
 
Samia angekuwa skillful na calliber ya uongozi kama Chancellor Makkel wa Ujerumani , sijui ingekuwaje , maana kwa sasa anapuyanga puyanga lakini bado anapewa sifa kedekede
 

Ingekua kinachofanya kazi ni JINSIA ningemuelewa Tale
 
Huyo tale aache ujinga, sasa bahati gani? Kwani raisi akiwa mwanamke au mwanaume kunakuwa na tofauti gani kwa wananchi?
 
Wajinga wanaendelea kuwa wajinga, wajinga wapya wanazaliwa....hii yote ni sababu ya kugeuza siasa kuwa ajira na sehemu ya kutafutia umaarufu na kutibu njaa ya tumbo...
 
Babu Tale kishapiga ramli baada ya miaka 50?
 
Umbumbumbu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sio akili za watanzania. Hizo ni akili za babu tale.
 
Aiseeee Ccm ndio ilituletea watu wapuuuz tangu tupate uhuru na hyi sheria ili uwe mbunge uwe na kkk3 ifutwe mara moja hatuwez endelea na mbunge chizi kma huyu
 
Nimetafakari post yake naona tozo iendelee mpaka akili zirudi. Kizaz cha kijinga sana. Na huyo mtaani kwao unakuta ni kiongoz
Jamani mbona mtoa mada kasema hayo mawazo sio yake ni ya BABU TALE MBUNGE WA MORO HUKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…