Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

dah...nchi hii naipa pole. Jinsia yake tu ndicho cha maana ulichoona hata awekwe kwenye sarafu....uwe na adabu, kilichomfanya Samia awe rais si jinsia yake.
Anabusu kware badala ya kubusu mtego ulionasa kware
 
"......MTU AKIKUSHAURI JAMBO LA KIPUMBAVU, AKIJUWA KUWA NI JAMBO LA KIPUMBAVU, NA AKIJUA KUWA WEWE ANAYEKUSHAURI SIO MPUMBAVU, HALAFU UKALIKUBALI,......ANAKUDHARAU.......". - Mwl. Julius Kambarage Nyerere - Mbeya, 1995.
It will take centuaries to get his replica
 
Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,

nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,

#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Babu Tale,namuona akicheza kete za kuteuliwa uwaziri.
 
Tale anawezaje kum manage Simba? Mbona anaonekana ana uelewa mdogo saana wa mambo?
 
Wabunge wa sampuli hii ni hatari sana kwa maendeleo ya Taifa....
 
kwamba jinsia yake ndiyo imemuwezesha kuwa rais? like seriously? kichwa chako ni kizima kweli wewe au hujui uzito wa kauli hiyo?

Nimekwambia vizuri tu rejea hotuba zake, mbona unakaza fuvu kwa hisia zako?
 
Tale alijipa uchawa kwa JPM, baada ya kufiwa anatafuta pa kujishikiza.
 
Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,

nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,

#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Mjane mpumbavu huwa anaropoka tu,shida ni ubunge wa kuloga
 
[emoji1][emoji1]

Mkuuu punguza ukali wa maneno basi.
Any way mm nadhani tumwache mama atuvushw mpaka 2025. Then baada ya hapo ndo tujue nani anatufaa.
Hata asipowafaa hamna kitu mtafanya! Round ijayo ni Makamba ama Wa Msoga
 
Back
Top Bottom