Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana, kuna muda najiuliza tuna laana gani kama taifa, hiyo picha ikishawekwa kwenye pesa itamsaidia nini mwananchi aliyeko kijijini hana maji, umeme, barabara mbovu, ukosefu wa dawa kwenye vituo vya afya...nk. Viongozi wameshindwa kutumia vichwa vyao kufikiri na badala yake wanatumia matumbo.