Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

Umewaza siku nzima ikakujia ushushe uzi usiokuwa na kichwa.
Badala ya kuwaza yajayo na kizazi cha mbeleni unaleta riwaya!!

Katiba katiba suluhu ya yote haipingiki.
Ni babu tale sio yeye jamani
 
Kwa sababu ni mwanamke wa kwanza kuwa raisi naunga mkono itengenezwe
 
huyu mlanguzi wa unga wa chapati nae anajikuta kaongea kitu cha maana hapo 🤣
 
Umeshasikika, hongera na jitahidi kunywa maji na bagia bila kusahau urojo wa Dk. Mizinguo pale ugokoni street
 
Acha ubaguzi ulitaka ndugu yako Salim mwalimu ndio awe rais


USSR
kwa hiyo kusoma kwako kote na katika ukoo wako wewe peke yako ndiyo unahesabiwa msomi, umeona Salim Mwalimu anafaa kuwa rais?.....inaonekana ulivyohitimu chekechea ukadhani umehitimu chuo kikuu
 
Ubunge wa kupewa shida sana...
 
Ni kweli hii ya saizi ni ya Mwendazake,yeye ataanza rasmi 2025
 
huyu ataropoka sana bungeni
 
Haya wala sio mawazo cha chawa taletale, yeye katumika kama spika tu. huu ni mpango wa serikali ya hangaya kama ilivyokuwa kwenye tozo walivyomtumia yule jamaa yao
 
Mtunga sheria lakini hajui sheria yeye anasema rais samia hadi 2035 wakati amekirithi kiti kwa zaidi ya miaka 3 hadi kuelekea uchaguzi ujao hivyo anaruhusiwa kugombea muhula 1 tuu 2025 hadi 2030 baada ya hapo anaachia kiti lakini namshangaa babu tale anavyosema hadi 2035
 
Daaah na unakuta mtu kama huyu analipwa Mshahara mnono unaotokana na kodi zetu... Kweli Mwendazake na Mahera walituweza! Hivi kweli katika kero zote zinazowakabili watu wa Morogoro Vijijini yeye ameona hii ndio italeta afueni kwa watu anaowawakilisha? SAD SAD SAD! Eeeeh Mungu tusaidie
 
dah...nchi hii naipa pole. Jinsia yake tu ndicho cha maana ulichoona hata awekwe kwenye sarafu....uwe na adabu, kilichomfanya Samia awe rais si jinsia yake.

Kwani uongo! Rejea hotuba za Samia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…