Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Swizz angefanya hivyo akili yao ingeona kuwa Swizz anawabania
 
Tale yupo Dar toka 2005 huko tunamsikia kwenye ma nyimbo. Diamond pia kaishi Dar miaka. Wote hawakuelewa kweli[emoji23]
Diamond ni mshamba tu tena sana mafanikio yamembeba tu
Kuishi au kuzaliwa dar es Salam ndiyo nini
Ni imani potofu kuamini kwamba kuishi au kuzaliwa dar es Salam ndiyo ujanja au lazima uwe mjanja
 
Ewe mbunge, ukisoma maoni ya Watanganyika humu, wanachotaka kusikia ni kwamba kuna vitu mlivyofanya ambavyo hamuwezi kuvisema.
 
Shida
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/TqGQxCVF9WWctZr5/?mibextid=Mk4v2M
 
Kwa sasa hatuamini maneno tunahitaji report ya daktari mkafanyiwe uchunguzi , P mnyama lazima amewawekea madawa ya kulevya kwenye vinywaji akamalizana nao

Hiyo Moja, ukimsikiliza Simba wa tandale anasema walifanya mambo mengi ambayo sio vizuri kuyaweka kwenye media.
 
Huu mjadala niliufungia vioo kabisa, ila kwa kuwa mchumba wangu kaingia kuujadili imebidi nivunje ukimya na mimi.

Suala la Diamond na Diddy na kwa maelezo aliyoyatoa Diamond hapo kabla na yanayoendelea hivi sasa wengi tulibaki njia panda, Babu Tale naye aliyo bolizozo ndio kabisa katia chumvi kwenye kidonda kibichi. Sijui jamaa alifikaje hapo alipo, ni mtupu mno kichwani.

Lakini b... umeona clip ya Ustaadh Juma akilia juu ya Diamond kuingia chumbani kwa Diddy? Nimecheka sana. Itafute.
 
Jamaa alikuwa anakula mifugo balaa. Wanaume mastaa kwa kwenda mbele.

Mzee wa Mkuyuni kitambi kimemponza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Mzee baba ameliwa kichwa. Mwanetu tunamlilia. Wamemtoa ile protective sheet 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huku P Diddy na Produza Swizz Beatz kule nani na nani tena!? 🥺😩 Two pairs.
Swizz amuwekee kiwingu Boss wake kweli? Hii inafikirisha sana. Bora Babu Tale angeuchuna tu.!
 
Hata marehemu kaka yake alimweka nyuma ya Hamad, yaani rafiki yake alikuwa mbele kuliko huyo mdogo wake.

Kwa sababu alimjua ni 'kichwa chake ni chepesi'. Hamadi alitumia hekima tu kumfanya huyo jamaa ni Meneja wake.

Na huko siasani wote tunajua kama ilibidi arithishwe harakati za mkewe ambazo zilisonga mbele sana, kabla ya kifo kumchukua dakika za mwisho.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…