Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.

Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.

Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.

View attachment 3106362
Mh inatia shaka mbona hawakusema siku zote
 
Je ni mambo gani waliyoyafanya ambayo Mond mwenyewe alisema hayapaswi kuwekwa public?

Au alipapaswa papaswa tu?

Alivyo ona wese linaletwa akakimbia...😄😄
Itakua aliongea ili apate kakiki kidogo so now kauli inamponza...
 
vile mick mill akisimulia matumizi ya Mafuta
pddy.jpg
 
Hapo hapo ukikaza utapaelewa😂😂😂 alivyo mpenda Kiki kutrend na sifa aliliwa na kwenye hiyo video anaongea kinyonge sana, pia media yake imejaza watu walioleft na anawapa shavu sana serikali ipo inamtizama tu!
Hapo kwenye kuongea kinyonge ilinifanya hadi nishangae kwanini jamaa amekua mnyonge ghafla😅😅😅... usikute nae anawaharibu sana vijana ila hawasemi.
 
Inavyoonekana muda c Mrefu tutaanza kumuona mpiga picha wa diamond wa zamani yaani Lukamba akiwa na maisha mazuri ghafla, kwani Yeye pamoja na Babu tale wameamua kutoka hadharani na wote wakiwa na majibu sawa kuhusu kilichotokea katika jumba la pdiddy.

Sasa pia tutegemee Diamond muda c mrefu nayeye atakuja hadharani Ili kujibu shutuma dhidi ya kilichofanyika katika jumba la Diddy.

Diamond hapo awali aliongea wazi kuwa , mambo yaliyofanyika katika jumba la pdiddy hayawezi kusimulika hadharani na hawezi Kusema.

Lakini Jana na Leo Lukamba na Babu take wamekuja na Kauli mpya ya pamoja inayofanana na wanadai walitoka jumba la pdiddy salama kabisa, huku mume wa Alicia keys ,swiz beat wakidai amewaokoa, wakati hapo awali walikuwa na Kauli kuwa yaliyofanyika hayasimuliki.

Kiuhalisia wanachokiongea kinakinzana na walichokisema mwanzo, hili suala Lina usiri mkubwa mno.
Inavyoonekana Hawa watu wamepangana , na hivyo tutegemee Diamond na yeye aje na jibu Hilo Hilo.
Lukamba ndio atafaidika katika sakata hili, kwani ana Hali ngumu ya kimaisha

Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.

Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.

Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.

View attachment 3106362
 
Attachments

  • Screenshot_20240925-163012_2.jpg
    Screenshot_20240925-163012_2.jpg
    194.6 KB · Views: 5
Inavyoonekana muda c Mrefu tutaanza kumuona mpiga picha wa diamond wa zamani yaani Lukamba akiwa na maisha mazuri ghafla, kwani Yeye pamoja na Babu tale wameamua kutoka hadharani na wote wakiwa na majibu sawa kuhusu kilichotokea katika jumba la pdiddy.
Sasa pia tutegemee Diamond muda c mrefu nayeye atakuja hadharani Ili kujibu shutuma dhidi ya kilichofanyika katika jumba la Diddy.
Diamond hapo awali aliongea wazi kuwa , mambo yaliyofanyika katika jumba la pdiddy hayawezi kusimulika hadharani na hawezi Kusema.
Lakini Jana na Leo Lukamba na Babu take wamekuja na Kauli mpya ya pamoja inayofanana na wanadai walitoka jumba la pdiddy salama kabisa, huku mume wa Alicia keys ,swiz beat wakidai amewaokoa, wakati hapo awali walikuwa na Kauli kuwa yaliyofanyika hayasimuliki.
Kiuhalisia wanachokiongea kinakinzana na walichokisema mwanzo, hili suala Lina usiri mkubwa mno.
Inavyoonekana Hawa watu wamepangana , na hivyo tutegemee Diamond na yeye aje na jibu Hilo Hilo.
Lukamba ndio atafaidika katika sakata hili, kwani ana Hali ngumu ya kimaisha

View: https://youtu.be/x3NS0nP1ZR0?si=87DFUg-IDm_lgZcW
 
Back
Top Bottom