Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Diddy naye kamwaga sana upakoMafuta Ni Changamoto
Tale ndio kaharibu kabisa. Akina Mario, Konde wajifunze kuridhika na walichojaaliwa. Hizo Grammy Awards na kujaza ma Arena kuna gharama zake😔Mkanganyiko wa maelezo yao unazidi kuleta tashwishwi. Bora wangebaki na msimamo ule ule wa awali, kwamba kweli Kuna vitu viliendelea lakini sio halali Kwa media.
Grammy awards na kujaza O2 Arena🤷Walifata nini kwanza
Mlijipeleka wenyewe mkaliwa nyuma kwa hiali yenu wenyewe na freemason mwenzenu mnayekutananao kwenye ibaada mkiwa uchiAkihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
Ila huyu jamaa ni bora angenyamaza tu, actions zake tu kwenye videos ni ushahidi tosha kwamba alishaliwaMlijipeleka wenyewe mkaliwa nyuma kwa hiali yenu wenyewe na freemason mwenzenu mnayekutananao kwenye ibaada mkiwa uchi
Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
Kwa binafsi yangu sina imani na woote walioenda nyumbani kwa huyu mwamba didyChupuchupu..
Utasema kisukure kinatafuta ungaView attachment 3106933
Mzee wa Komsava baada ya kumaliza ya sirini kwa Diddy😀
We jamaa ni mnafki sana.Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
Ila huyo Burna boy yaani hiyo closeness na mama ake sijawahi ielewa na vile sijui yupo single. Yaani hata kama didy hajampachua mi huwa naona anawalakini.Nimeona Master J amehojiwa kuhusiana hiyo scandal, akasema kwa Burna Boy ukiunganisha dots inawezekana ikawa kweli, ila kwa Diamond haiwezekani sababu anasema mbona Diamond hajawika na kufanikiwa kivile kama Barna boy.
Ukimuangalia Masster J ni kama anaongea kizalendo tu ila anachekea kwapani (kwa kujificha).
Maana hata yeye anajua Barna boy hajaanza leo, it was a process ya miaka kadhaa mpaka kuja kutoka, huyu alienda kwa Diddy mwaka huu, isingewezekana atoke mwaka huu huu au hata mwakani, maana hata Justin Bieber hakutoka ndani ya miaka miwili.
Master J anatetea huku anachekea kwapani sababu ukweli anaujua,l. Ukimsikiliza vizuri hasa anavyosisitiza kuhusu Burna Boy, kupenywa, halafu ukimsikiliza anavyomtetea Simba wenu, ni kama vile anakwambia achana na ninachokitetea ila amini ambacho sijakiongea
Mpaka kufika kule, kuna assignments za nchini mwao lazima wewe wamezitimiza ikiwemo kulaka na maza zao. Ili meadi kufanya matendo kinyume na kawaida, kinyume na utu.Ila huyo Burna boy yaani hiyo closeness na mama ake sijawahi ielewa na vile sijui yupo single. Yaani hata kama didy hajampachua mi huwa naona anawalakini.
Godfather Tale. Anawazidi mbali sana akili wote nyi
Godfather Tale. Anawazidi mbali sana akili wote n
Godfather Tale. Anawazidi mbali sana akili wote nyie.
Bado wewe waarabu wakupake futaKwani huyu P.diddy ana nini hasa special mpaka wasanii wajikombe kwake?
Kwanini wasanii watake kumtumia yeye tu ili kupanda kimuziki?
Naona utetezi umekua mrefu sana ila wakubwa tumesha elewa.
Mtu anataka rosi roisi wakati uwezo wake wa bajaji,anapewa na Didi Halafu jicho linaliwwa.Mwanadamu mpumbavu husema pesa ni Kila tuHuyu pdidy alikuwa na nguvu kiasi gani mpaka kula kila awe mwanamke au awe mwanaume ?
Sijawahi msikiliza huyu jamaa hadi Leo hii,Kwa hiyo ndio anaongea hivyo?kazaliwa unguja Nini?Halafu achana na mambo ya kuwa good upstairs hapa tunazungumzia mafuta,na kama mwanaume anapakwa mafuta ili apewe fame huyo sio mpuuzi?Unamchukia bure tu Babu tale, yote aliyofanya hayawezi kufanywa na kichwa chepesi. Kuisimamisha tip top, ku-manage A list artists na wakapata mafanikio hiyo haifanywi na kichwa chepesi.
Hata kuswitch kwenda kwenye siasa na kufanikiwa nayo ni akili kubwa
Labda kama unataka apeleke satellites angani ndio uamini ana akili nyingi