Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Mkanganyiko wa maelezo yao unazidi kuleta tashwishwi. Bora wangebaki na msimamo ule ule wa awali, kwamba kweli Kuna vitu viliendelea lakini sio halali Kwa media.
Tale ndio kaharibu kabisa. Akina Mario, Konde wajifunze kuridhika na walichojaaliwa. Hizo Grammy Awards na kujaza ma Arena kuna gharama zake😔
 
Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.

Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.

Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.

Mlijipeleka wenyewe mkaliwa nyuma kwa hiali yenu wenyewe na freemason mwenzenu mnayekutananao kwenye ibaada mkiwa uchi
 
Hapa wakiondoka bila kuaga 😀😀😀

We jamaa ni mnafki sana.
 
Nimeona Master J amehojiwa kuhusiana hiyo scandal, akasema kwa Burna Boy ukiunganisha dots inawezekana ikawa kweli, ila kwa Diamond haiwezekani sababu anasema mbona Diamond hajawika na kufanikiwa kivile kama Barna boy.

Ukimuangalia Masster J ni kama anaongea kizalendo tu ila anachekea kwapani (kwa kujificha).
Maana hata yeye anajua Barna boy hajaanza leo, it was a process ya miaka kadhaa mpaka kuja kutoka, huyu alienda kwa Diddy mwaka huu, isingewezekana atoke mwaka huu huu au hata mwakani, maana hata Justin Bieber hakutoka ndani ya miaka miwili.

Master J anatetea huku anachekea kwapani sababu ukweli anaujua,l. Ukimsikiliza vizuri hasa anavyosisitiza kuhusu Burna Boy, kupenywa, halafu ukimsikiliza anavyomtetea Simba wenu, ni kama vile anakwambia achana na ninachokitetea ila amini ambacho sijakiongea
Ila huyo Burna boy yaani hiyo closeness na mama ake sijawahi ielewa na vile sijui yupo single. Yaani hata kama didy hajampachua mi huwa naona anawalakini.
 
Mpaka kufika kule, kuna assignments za nchini mwao lazima wewe wamezitimiza ikiwemo kulaka na maza zao. Ili meadi kufanya matendo kinyume na kawaida, kinyume na utu.
 
Imagine mtu mzima unazungumza utumbo hivi?Tushafamu ukiingia jumba la didy anafunga mlango,Cent hakuweza kukimbia sembuse nyie na vimatako vyenu?Halafu Didi tunajua ndio mtoa tuzo na nominees za Bet,huyo msanii wako nashangaa anaimba ushuzi na ashakuwa nominated mara kibao,mwenyewe nlikuwa najiuliza Kwa kipi Cha maana kumbe mnaenda pasuliwa yai.You guys are pathetic,na mbaya zaidi serikali inaendelea kuwa kenulia Meno Kwa jinsi mnavyo haribu kizazi Cha kesho hasa watoto kwa utumbo mnaoimba.
 
Kwani huyu P.diddy ana nini hasa special mpaka wasanii wajikombe kwake?

Kwanini wasanii watake kumtumia yeye tu ili kupanda kimuziki?

Naona utetezi umekua mrefu sana ila wakubwa tumesha elewa.
Bado wewe waarabu wakupake futa
 
Unamchukia bure tu Babu tale, yote aliyofanya hayawezi kufanywa na kichwa chepesi. Kuisimamisha tip top, ku-manage A list artists na wakapata mafanikio hiyo haifanywi na kichwa chepesi.

Hata kuswitch kwenda kwenye siasa na kufanikiwa nayo ni akili kubwa

Labda kama unataka apeleke satellites angani ndio uamini ana akili nyingi
Sijawahi msikiliza huyu jamaa hadi Leo hii,Kwa hiyo ndio anaongea hivyo?kazaliwa unguja Nini?Halafu achana na mambo ya kuwa good upstairs hapa tunazungumzia mafuta,na kama mwanaume anapakwa mafuta ili apewe fame huyo sio mpuuzi?
 
Back
Top Bottom