Jiwe kamkimbia lissu duniani - itaweza babu tale mwizi wa kura za ubunge.Babu Tale ndio mdudu gani?
Alishindwa JIWE yeye ataweza kupambana na Lissu?
ukiingia ktk siasa au ukishakuwa na ushabiki wa kisiasa au mpira hasa wa miguu haya lazima uyatarajie.....raiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa ili uwe shabiki mzuri wa simba au yanga lazima ujue kubishia ukweli wa timu pinzani au kutetea uongo wa timu yako kwa nguvu zako zote........Mkuu wewe najua una uelewa mzuri tu na hata jibu lako linajieleza
Maana yangu hata diamond akijitanabaisha kwamba ni ccm mawe ya nini? tuchukulie 2025 anagombea uraisi na akapata unataka kuniambia atawahudumia waccm tu?
ILA sikatai wapo WAJINGA tena wengi tu wanaodhani siasa ni uadui na ndio hao unaowazungumzia.
Kuwa CCM,CHADEMA.CUF,ACT au NCCR.sio dhambi na si uadui na huku mtaani tunaishi hivyo(kindugu)
umejibu nini sasaWanafiki lazima mjibiwe
Chaguliwa na wewe kuingia BET kama ni rahisiukiingia ktk siasa au ukishakuwa na ushabiki wa kisiasa au mpira hasa wa miguu haya lazima uyatarajie.....raiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa ili uwe shabiki mzuri wa simba au yanga lazima ujue kubishia ukweli wa timu pinzani au kutetea uongo wa timu yako kwa nguvu zako zote........
Wana harakati siyo wa puuzia hata kidogo. They can tarnish your image mpaka ushangae. Kumbuka hata UN huwasikiliza sana.....ni watu wa hatari
Ni mdudu mmoja mshenzi aliamua kummua mke wake kwa ajili ya ubunge, tutamuitaje jamii si mshenzi tu.Babu Tale ndio mdudu gani?
Alishindwa JIWE yeye ataweza kupambana na Lissu?
Inashangaza kuona watu wanaohubiri demokrasia hawataki mtu mwingine awe na uhuru wa kushabikia chama tofauti na chao.
Diamond, wasanii kiujumla, wanahaki zote kama wananchi wengine kuwa wanachama na kushabikia chama wakipendacho.
Mazingira walioishi kina Marley na Makeba ni tofauti na haya ya Tanzania.
Huko ambako wanajisifu kuwa watetezi wa haki kuna yale yale maovu na udhaifu kama huku kwingine panapolazumishwa paonekane pana udhalimu.
Ni mtafutaji wa riziki anayetazama maslahi yake kama wewe na mimi.
Lakini suala la wasanii kusapoti chama fulani nyakati za kampeni nchini mwetu halijaanza leo ni la tangu na tangu iweje iwe safari hii?ukiingia ktk siasa au ukishakuwa na ushabiki wa kisiasa au mpira hasa wa miguu haya lazima uyatarajie.....raiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa ili uwe shabiki mzuri wa simba au yanga lazima ujue kubishia ukweli wa timu pinzani au kutetea uongo wa timu yako kwa nguvu zako zote........
Wana harakati siyo wa puuzia hata kidogo. They can tarnish your image mpaka ushangae. Kumbuka hata UN huwasikiliza sana.....ni watu wa hatari
KURA zinaongea mkuu!Kwani kati ya Magufuli na Tundu Lissu Nani zaidi?
Kura zilizohesabiwa na tume gani? Mi ninachojua Kuna mmoja alitaka kumuua mwenzake,akafa yeye. Ameisha oza sasaiv. Kwisha habari yake!KURA zinaongea mkuu!
Shida sio kushabikia shida alikuwa anashabikia nini? uwaaji wa demokrasia au alikuwa anashabikia nini? mbona akina Ali Kiba hawakuwa na kiherehere cha domo?
Ukiona mtu anamtumainia Babu Tale na kumuona ndio role Model wake basi huyo Mtu yuko state za Mwishoni kabla ya kuanza kuokota MakopoMbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz!
Babu Tale ameshangazwa na watu hao na kusema baada ya watu kama Tundu Lissu kushindwa kuichafua nchi hivi sasa wamehamia kumchafua mtu mmoja anayejipatia mkate wake kupitia muziki kwa kuiwakilisha nchi yake vizuri sana kimataifa.
Babu Tale amesema watu hao ni wanafiki na hawatafanikiwa kwani riziki anatoa mwenyezi Mungu pia hizo tuzo haziamuriwi na kura za hao wanaharakati wanafiki.
Huwezi kuhubiri Demokrasia huku ukiwananga wenzio wanaochagua wanachokipenda, Wasafi ipo CCM kabla ya hao wanafiki wa mitandaoni.
View attachment 1821519
Mnapenda watu wawakalie kimya, si ndio, mnajisikia mmeshinda wenyeweBabu tale anakosea sana kuliingilia hili swala kisiasa. Atayaona matokeo yake. Bora angekaa kimya au angeiga busara za Diamond mwenyewe
Usisahau kuwa wakati huyo Diamond anamsifia huyo mwendakuzimu yeye kama Rais alikuwa akiwagawa Watanzania kwa itikadi. Alikuwa anazunguka nchini akitangaza kutowapelekea maendeleo waliochagua upinzani huku kodi zao anakusanya.Mkuu wewe najua una uelewa mzuri tu na hata jibu lako linajieleza
Maana yangu hata diamond akijitanabaisha kwamba ni ccm mawe ya nini? tuchukulie 2025 anagombea uraisi na akapata unataka kuniambia atawahudumia waccm tu?
ILA sikatai wapo WAJINGA tena wengi tu wanaodhani siasa ni uadui na ndio hao unaowazungumzia.
Kuwa CCM,CHADEMA.CUF,ACT au NCCR.sio dhambi na si uadui na huku mtaani tunaishi hivyo(kindugu)
Wagawe na wewe watanzania kama ni rahisi hivyo . Kenge kabisaUsisahau kuwa wakati huyo Diamond anamsifia huyo mwendakuzimu yeye kama Rais alikuwa akiwagawa Watanzania kwa itikadi. Alikuwa anazunguka nchini akitangaza kutowapelekea maendeleo waliochagua upinzani huku kodi zao anakusanya.
Watanzania hao hao wasiokubaliana naye walikuwa wakitekwa, wakiteswa na kupotezwa (wakiuawa) lakini Diamond alifanya nini...alikuwa anampongeza! Je nyakati hizo siasa ilikuwa uadui?
Anayejumuika na kushirikiana na kumsifu mtesi wako utamwitaje? Acheni hizo, mtu huvuna alichopanda...kama alipanda mawe atavuna jiwe!