J P Mpiana.
Hata wewe anaweza kukupataHapati mtu safari hii labda wajinga.
Babu ni Genius kuliko hata MaprofesaBabu wa loliondo na Dr shika ni janga la taifa
Mie namsifu sana Babu akili mingi sana,ila Wabongo nimekubali akili zimo.Babu wa Loliondo Dr Shika Hawa ni mageniusmzee kanenepa hadi kitambi du noma sana aise, maisha yake yalibadilika kabisa
Dah ni hatari sana msafara wote huo kwa Babu ni shidaduh enzi zake babu ilikuwa hatari....
Msafari kwenda kwa Babu enzi hizo
Kwa kosa gani? Kumbuka alisema ili upone lazima uwe Na Imaniduuuhh
kweli watu wangu wanapotea kwakukosa maarifa..
huyu MZEE alipaswa kuwa jela muda huu
Hawakuwa Na Imaniππ± huyu babu anafaa kushtakiwa wateja wake wengi mpaka leo hawajapona na wengi sana walifia huko maporini
πππππ hapana sitaki hata kusikiaHawakuwa Na Imani