Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi


hahaha et mbili na nusu za chumvi spare my ribs ........ mashosti walikuwa warembo mbaya sema madoido hayakuwepo tu siku hizi ni mwendo wa fake tu aiseee kijana hajulikani wala mzee hajulikani
 
hahaha et mbili na nusu za chumvi spare my ribs ........ mashosti walikuwa warembo mbaya sema madoido hayakuwepo tu siku hizi ni mwendo wa fake tu aiseee kijana hajulikani wala mzee hajulikani
Ndo maana maisha matamu, manake kila kitu ni feki... pc na tecno yangu, nazo ni fake... hata NasDaz na miss neddy nayo ni majina fake... kwahiyo poa tu!!
 
Last edited by a moderator:
Duh, bora uishie kucheka... manake unaweza kujikuta unaanza kumtaja Le Mutuz kabisa...

Hahahahaha uknw mabebiz wakarez super lemtindiz lazima wanitaje maana Mimi ni Big Celebrity Tz uknw...hahahahaha me I love it
 
hahaha sasa madongo unayowapa kidizain still unataka wakupe tano lols
Kumbe wametoka nduki enh... afu ninapowapendea nyie wanadamu wa kike sehemu moja tu... unaweza ukakuta bi shost hapa yuko very serious na kushusha madongo kwa Le Mutuz... lakini Le Billionaire akiomba hifadhi ya moyo kwa hao hao wanaomponda, utashangaa anapewa hifadhi na hao hao...!!
 

hahaha we unajitoa kwani Me? hujui wengine wanafuata upepo ukiwapeleka huku sawa kule sawa af kubeba kiumbe kama yule nacho kipaji asieee mbebez wake ana moyo hahaha af hiyo location yako mbona majanga ndo wapi huko
 
hahaha we unajitoa kwani Me? hujui wengine wanafuata upepo ukiwapeleka huku sawa kule sawa af kubeba kiumbe kama yule nacho kipaji asieee mbebez wake ana moyo hahaha af hiyo location yako mbona majanga ndo wapi huko
We ushawahi kusikia Nas anakuwa Ke? Location majanga vipi neddy wakati huku ndo home?! Ukisikia Ushenzini ni Uswahilini Plus Plus! Mwenge na Kinondoni nazo ni Uswahilini lakini huwezi kuiweka Kwa Mtogole, Tandika Maguruwe, Mikoroshini, Uwanja wa Fisi n.k kundi moja na Mwenge au Kinondoni!! Wakati Mwenye na Kinondoni ni Uswahilini huku kwetu ni Uswahilini Pitiliza kunakogeuka kuwa ushenzini... kwa umbeya huku ni balaha, lakini hao hao wambeya wa kutupwa usishangae kuona wanakodisha vigoma kwenda kumsuta mwenzao kwa umbeya ambao nao wamekubuhu!!! Nadhani umeshakuelewa huku kwetu...
 

.....lakini walikuwa na le super mtindiz? if not then gadam!
 

hahaha nimekuelewa lol huo ufafanuzi balaaa aiseeee salute kwako le mkareziiiii huko kwenu aiseee roho mkononi NasDaz nakutaka radhi sikujua aaieeee
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana kwa huu uzi. Yaani mfuko wa kaptula uingie TV ya chogo ya inch 21?! Watu mna vituko sana humu JF. Asanteni.
Ova

Hahahaha uknw Mim ni Celebrity mkubwa Tanzania Uknw ..pamoja na mfuko wa kaptula kuingiza TV ya chogo bado Mabebiz wakarez ....super lemtindiz wananizimikia hahahahahaha Super garden Lembuluraz wananionea Wivu hahahahaha I like it
 

Attachments

  • 1415217898828.jpg
    47.6 KB · Views: 211

Uknw mabebiz wote bongo wananizimikia uknw hahahaha ...I love it
 


"Le new york 1976, huyu ni le bilionea lau masha at uncle le mutuz house. you know mimi ndie niliyewapokea baada ya dingi yake kuzinguana na le bilionea baba wa gadem taifa you know? walikaa kwangu miaka 3....hapo alikuwa pre-form one wakati mimi nafanya kazi gadem bandari you know?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…