Duh, bora uishie kucheka... manake unaweza kujikuta unaanza kumtaja Le Mutuz kabisa...Aaaah hahahaaaa usinifanye nikacheka peke yangu usingizini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, bora uishie kucheka... manake unaweza kujikuta unaanza kumtaja Le Mutuz kabisa...Aaaah hahahaaaa usinifanye nikacheka peke yangu usingizini!
hahahahaaa... reference ya Kingunge sijaenda mbali wala nini... kuna watu humu washakata debe mbili unusu za chumvi peke yao... fuatilia tu post zao, yaani full unoko utafikiri mwalimu mkuu wa enzi za Hayati Baba wa Taifa!! By the way, huangaliagi tv tunapoadhimisha sherehe za uhuru nini... mambo ni back 1961 hiyo... huwa najisikiaga raha sana ninapowaangalia mashost wa enzi hizo... inaelekea walikuwa warembo ile mbaya sema walikuwa hawajui kutembea kwa mapozi... c kuchanganya miguu huko!!!
Ndo maana maisha matamu, manake kila kitu ni feki... pc na tecno yangu, nazo ni fake... hata NasDaz na miss neddy nayo ni majina fake... kwahiyo poa tu!!hahaha et mbili na nusu za chumvi spare my ribs ........ mashosti walikuwa warembo mbaya sema madoido hayakuwepo tu siku hizi ni mwendo wa fake tu aiseee kijana hajulikani wala mzee hajulikani
Ndo maana maisha matamu, manake kila kitu ni feki... pc na tecno yangu, nazo ni fake... hata NasDaz na miss neddy nayo ni majina fake... kwahiyo poa tu!!
Yaani kwa mbaaaaaaaali, nahisi kama watu wametususia hii sredi, au?!!!hahahhaa umeona eeeeh
Duh, bora uishie kucheka... manake unaweza kujikuta unaanza kumtaja Le Mutuz kabisa...
Yaani kwa mbaaaaaaaali, nahisi kama watu wametususia hii sredi, au?!!!
Kumbe wametoka nduki enh... afu ninapowapendea nyie wanadamu wa kike sehemu moja tu... unaweza ukakuta bi shost hapa yuko very serious na kushusha madongo kwa Le Mutuz... lakini Le Billionaire akiomba hifadhi ya moyo kwa hao hao wanaomponda, utashangaa anapewa hifadhi na hao hao...!!hahaha sasa madongo unayowapa kidizain still unataka wakupe tano lols
Kumbe wametoka nduki enh... afu ninapowapendea nyie wanadamu wa kike sehemu moja tu... unaweza ukakuta bi shost hapa yuko very serious na kushusha madongo kwa Le Mutuz... lakini Le Billionaire akiomba hifadhi ya moyo kwa hao hao wanaomponda, utashangaa anapewa hifadhi na hao hao...!!
We ushawahi kusikia Nas anakuwa Ke? Location majanga vipi neddy wakati huku ndo home?! Ukisikia Ushenzini ni Uswahilini Plus Plus! Mwenge na Kinondoni nazo ni Uswahilini lakini huwezi kuiweka Kwa Mtogole, Tandika Maguruwe, Mikoroshini, Uwanja wa Fisi n.k kundi moja na Mwenge au Kinondoni!! Wakati Mwenye na Kinondoni ni Uswahilini huku kwetu ni Uswahilini Pitiliza kunakogeuka kuwa ushenzini... kwa umbeya huku ni balaha, lakini hao hao wambeya wa kutupwa usishangae kuona wanakodisha vigoma kwenda kumsuta mwenzao kwa umbeya ambao nao wamekubuhu!!! Nadhani umeshakuelewa huku kwetu...hahaha we unajitoa kwani Me? hujui wengine wanafuata upepo ukiwapeleka huku sawa kule sawa af kubeba kiumbe kama yule nacho kipaji asieee mbebez wake ana moyo hahaha af hiyo location yako mbona majanga ndo wapi huko
hahaha sasa madongo unayowapa kidizain still unataka wakupe tano lols
hahahahaaa... reference ya Kingunge sijaenda mbali wala nini... kuna watu humu washakata debe mbili unusu za chumvi peke yao... fuatilia tu post zao, yaani full unoko utafikiri mwalimu mkuu wa enzi za Hayati Baba wa Taifa!! By the way, huangaliagi tv tunapoadhimisha sherehe za uhuru nini... mambo ni back 1961 hiyo... huwa najisikiaga raha sana ninapowaangalia mashost wa enzi hizo... inaelekea walikuwa warembo ile mbaya sema walikuwa hawajui kutembea kwa mapozi... c kuchanganya miguu huko!!!
We ushawahi kusikia Nas anakuwa Ke? Location majanga vipi neddy wakati huku ndo home?! Ukisikia Ushenzini ni Uswahilini Plus Plus! Mwenge na Kinondoni nazo ni Uswahilini lakini huwezi kuiweka Kwa Mtogole, Tandika Maguruwe, Mikoroshini, Uwanja wa Fisi n.k kundi moja na Mwenge au Kinondoni!! Wakati Mwenye na Kinondoni ni Uswahilini huku kwetu ni Uswahilini Pitiliza kunakogeuka kuwa ushenzini... kwa umbeya huku ni balaha, lakini hao hao wambeya wa kutupwa usishangae kuona wanakodisha vigoma kwenda kumsuta mwenzao kwa umbeya ambao nao wamekubuhu!!! Nadhani umeshakuelewa huku kwetu...
Nimecheka sana kwa huu uzi. Yaani mfuko wa kaptula uingie TV ya chogo ya inch 21?! Watu mna vituko sana humu JF. Asanteni.
Ova