Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Sasa jamàa hapo kasema utamu ulikolea ukamwacha jamaa ajaze ndaniNinae mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jamàa hapo kasema utamu ulikolea ukamwacha jamaa ajaze ndaniNinae mkuu
Nilifanya nikapata mimba...ila I didn't feel huo utamu mkuuSasa jamàa hapo kasema utamu ulikolea ukamwacha jamaa ajaze ndani
Acha masihara yaan hadi unaruhusu iingie Kuna utamu uliusikia hakuna mimba inayoingia bahati mbayaNilifanya nikapata mimba...ila I didn't feel huo utamu mkuu
Haikuwa bahati mbaya na sijawahi sema nilipata bahati mbaya ila tambua kuwa simfahamu huo utamu wa ngono kutoka kwake....I mean sikupata Radha yoyoteAcha masihara yaan hadi unaruhusu iingie Kuna utamu uliusikia hakuna mimba inayoingia bahati mbaya
Yaan wakati kale kabao kanaingia uliona tu km jamaa anakupapasa anakugusagusa na kukumwagia maji tu hakuna anachokufanya? Acha utaniHaikuwa bahati mbaya na sijawahi sema nilipata bahati mbaya ila tambua kuwa simfahamu huo utamu wa ngono kutoka kwake....I mean sikupata Radha yoyote
Aliwajibika ila sikujisikia....sijawahi kuwa na utani mapenziniYaan wakati kale kabao kanaingia uliona tu km jamaa anakupapasa anakugusagusa na kukumwagia maji tu hakuna anachokufanya? Acha utani
Yaan inamaana jamaa alikua anakurukiarukia tu juu yako wakati huo huna time nae amalize aende?Aliwajibika ila sikujisikia....sijawahi kuwa na utani mapenzini
Niliwajibika ila I didn't feel itYaan inamaana jamaa alikua anakurukiarukia tu juu yako wakati huo huna time nae amalize aende?
Yaan hakukua na msuguano wowote uliozaa cheche na msisimko kwako?Niliwajibika ila I didn't feel it
Never,hiyo ndo sababu hakuna kilichobakia nikamkumbuka au nikarudi kwakeYaan hakukua na msuguano wowote uliozaa cheche na msisimko kwako?
Yaan unataka kusema hata wakati kinaingia haukukisikia kabisa?Never,hiyo ndo sababu hakuna kilichobakia nikamkumbuka au nikarudi kwake
Imetosha Kwa Leo mkuu🙏Yaan unataka kusema hata wakati kinaingia haukukisikia kabisa?
Yaan wakati kinaingia unataka kusema hukusikia hata harufu kwamba hapa kimeingia?Imetosha Kwa Leo mkuu🙏
Haha, dah! Chief, kwamajibu yote hayo nilitegemea ungepata hint kuwa mwenzako hayupo comfortable na kachukia hivyo ungeacha kumuuliza maswali. Aisee!Yaan wakati kinaingia unataka kusema hukusikia hata harufu kwamba hapa kimeingia?
You are right comradeKwa Afya ya Kulinda Kizazi chako, Oeni mwanamke ambaye hajazaa.
Wakati huo huo tambueni kua siku hizi walooa mwanamke ambaye hajazaa, Huwa wanalea watoto wa wengine.
Ikitokea Umeoa Mwanamke mwenye mtoto, itapendeza kama alozaa naye awe amekufa, kama hajafa,, mwambie mtoto wake huyo ampeleke kwao na alozaa naye , Kama anataka kuishi naye, MPE MASHARITI MAGUMU MAGUMU, MPE MASHARITI NA AYAELEW NA AJUE WAZIWAZI, KUA SIKU AKIFANYA UPUMBAVU KWA MGONGO WA MTOTO, SIKU HIYOHIYO NDIO UTAKUA MWISHO WA NDOA !
Hatari nayoiona Sasa, Kwa Sasa mabinti wengi wanazalia kwao , na wengi wao wanazaa na wanaume ambao hawaoani Kwa sababu za Maisha tu ,,, hali hiii inapelekea Singo Maza Asilimia kubwa, KUTAFUTA MWANAUME AA KUWAOA KWA KUJIEGESHHA TU ILI YEYE NA MWANAWE WAISHI VIZURI !!.
hata Ivo, Suala la kuoa, Nafikiri ni Kuomba Mungu upate Mke mwema tu ,anayejielew !!.
SahihiMimi naona hizo ni assumptions za watu wachache wanaotaka sisi tuliowapa mimba wadada na kuwaacha kwamba hatuachani. Mimi binafsi toka tulipoachana na mama wa mtoto wangu sijawahi kufikiria kumla tena baada ya yeye kuolewa yaani hata simu tu asipopiga yeye eiza niongee na mtoto au kuna tatizo lolote nahitajika kulikwamua siwezi kumupigia simu hata kidogo.
Yes,anaweza akawa ni single anayejielewa na mwenye misimamo,lkn unaweza pia kuoa ambaye hajazaa na akakuletea wa njehata Ivo, Suala la kuoa, Nafikiri ni Kuomba Mungu upate Mke mwema tu ,anayejielew !!.
Hapo mkuu umemaliza kila kitu
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Mimi naona hizo ni assumptions za watu wachache wanaotaka sisi tuliowapa mimba wadada na kuwaacha kwamba hatuachani. Mimi binafsi toka tulipoachana na mama wa mtoto wangu sijawahi kufikiria kumla tena baada ya yeye kuolewa yaani hata simu tu asipopiga yeye eiza niongee na mtoto au kuna tatizo lolote nahitajika kulikwamua siwezi kumupigia simu hata kidogo.