To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Uwe na mapumziko mema mkuuUlipata ladha sehemu nyingine ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na mapumziko mema mkuuUlipata ladha sehemu nyingine ?
Uwe na mapumziko mema mkuu
Ndiyo mkuuNa kwa sasa upo na mtu ?
😂Mimi naona hizo ni assumptions za watu wachache wanaotaka sisi tuliowapa mimba wadada na kuwaacha kwamba hatuachani. Mimi binafsi toka tulipoachana na mama wa mtoto wangu sijawahi kufikiria kumla tena baada ya yeye kuolewa yaani hata simu tu asipopiga yeye eiza niongee na mtoto au kuna tatizo lolote nahitajika kulikwamua siwezi kumupigia simu hata kidogo.
Hayo ya singo mama yalimkuta mdogo wangu mpaka tukawa tunamshangaa.Unaweza ukajipa moyo kwamba waliachana kwa ugomvi na pengine baba wa mtoto hakutoa chochote tangu asikie mwanamke kapata mimba, waweza kudhani jamaa ndio basi tena kahsribu hawezi kuwa tatizo.
Kiufupi ni ngumu sana mwanamke kumuacha kirahisi mwanaume aliemtunga mimba hasa ya kwanza ile inayompa status ya kuitwa mama flani , hadi kaamua kuchukua maamuzi alee mimba miezi 9 si kitu kidogo.
Kuna kipindi itafika tu ataanza kuomba ruhusa ampeleke mtoto kwa baba yake, tena nae mtoto anaweza kuanza kukuita uncle ama kwa jina lako ila baba ni jina atalomtunzia huyo babake wa kibailojia, hii hasa kwa watoto wa kiume.
Mambo yanayoendelea huko pindi wakiwa wao bila uwepo wako ndio sumu inayoweza kuleta simanzi kwenye mahusiano yenu
Hapo kwenye visa vingine ndipo niliposema kabla ya kuanza Safari na single mother mwangalie kichwa chake ndio uchaguzi unasuka au unanyoaLakini vikaanza visa vingine.
Tatizo lipo kwa mdogo wako kujimilikisha shamba la watu, wachaa yamkute labda atatumia kichwa cha juu kufikiri badala ya kutumia kichwa cha chini kufanya maamuzi!!Hayo ya singo mama yalimkuta mdogo wangu mpaka tukawa tunamshangaa.
Analishwa meza moja na baba wa mtoto, tena nyumbani kwake. Kisa nini? Eti baba kamtembelea binti yake na kaenda muda wa chakula.
Nikamwambia mdogo wangu, haifai hivyo, mwambie mkeo amtayarishe mtoto baba'ke aje kumchukuwa aebde kula nae apendako, tena aishie nje, kwako asiingie kabisa, wala mlangoni asisogee.
Hilo mdogo wangu lilimshinda, eti asionekane wa kizamani. Ikabidi niingilie kati nimweleze mkewe (wifi yangu), akanielewa. Ndiyo ikawa mwisho wa kuja.
Lakini vikaanza visa vingine.
Ukiona tunatisha watu jaribu kuingia kwenye mahusiana na mtu ambaye bado ana mawasiliano na ex wake alafu urudi hapa utwambie boss 😀Acheni kutisha watu