Baby dady Drama: Ni ngumu sana kushindana na baba wa mtoto ukianzisha mahusiano na single maza, ngumu sana!

Acha masihara yaan hadi unaruhusu iingie Kuna utamu uliusikia hakuna mimba inayoingia bahati mbaya
Haikuwa bahati mbaya na sijawahi sema nilipata bahati mbaya ila tambua kuwa simfahamu huo utamu wa ngono kutoka kwake....I mean sikupata Radha yoyote
 
Haikuwa bahati mbaya na sijawahi sema nilipata bahati mbaya ila tambua kuwa simfahamu huo utamu wa ngono kutoka kwake....I mean sikupata Radha yoyote
Yaan wakati kale kabao kanaingia uliona tu km jamaa anakupapasa anakugusagusa na kukumwagia maji tu hakuna anachokufanya? Acha utani
 
Yaan wakati kale kabao kanaingia uliona tu km jamaa anakupapasa anakugusagusa na kukumwagia maji tu hakuna anachokufanya? Acha utani
Aliwajibika ila sikujisikia....sijawahi kuwa na utani mapenzini
 
You are right comrade
 
Kwa lugha nyingine ni kuwa wanawake waepukeni kwa nguvu na akili zenu zote wanaume wenye watoto na mama zao bado wako hai.
 
Sahihi
 
Vijana waoga sanaa…wanaogopa kuona matala pia wanaogopa kuoa s.mother
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…