Hahaaaaa! Hilo wanalijua wao wawili, ila kodi ya nyumba ndo alilipia, kweli ataachia kodi yake iende wanaume wengine ndo wafaidi comfort za jumba lile? Mmmmmmmh! Lets keep our fingures crossed!we mwanamke kuja fasta...
ina maana bado kajala analaliwa na mr sembe?
ina huuuuuuuuuuu lara 1
Kwani bibi yenu si alimuacha Dj akaensa kujiuza dubai weeee hadi akaibukia hapo? Au alomuacha mume ni shamaimu tu?Yes ndiyo mrs sembe aliacha mumewe apeche kwenda kuolewa na sembe
haloooooo mashoga wote amegombana nao unadhani angemwalika nani? Kujifanya hakutaka huo uongo mkubwa...waalikwa hamna kwa kupenda mabifu. Au baby shower aalikwe love peke yake? Hehehehe bi mkora kadoda. Saa hivi yupo yupo ka mwanga vilebaby shower alifanyiwa na mumewe , ulitaka afanyiwe na nani? Huo ushoga wa unafiki kukenuliana meno mioyo ikiwauma???
Ndio maana nakwambia wewe ndo hukuziona kwa sababu aliziweka wazi na kwa Mara ya kwanza Watu wakamuona aliyekuwa mumewe. Poa umenipa haki yake. Maana hapa tu we fair,We ndo umeziona peke yako! But it doesnt mean sio kweli, haya namuongezea CBE, sijajua bado ngazi gani. Mnyonge namnyonga kweli ila haki yake nampa!
Hahaaaaa! MORTAGE IS TOUGH FINANCIAL TOPIC! SHURTI UWE UNAKOPESHEKA BIBI! Hukopeshwi hivi hivi kisa umeenda bank basi wakukopeshe tu li PORSCHE.??? Thubutuuuuuuuu! Mbona wabongo kina mwajuma ndala ndefu wasio na karatasi za maana wasikope mi VOGUE, kina Chaga Bibi si wako USA na wao? Hata PINTO tu HAWAKOPESHEKI! Halooooooooooo! Tunarudi kwenye SHULE! Ukiwa na shule vitu kama hivi wala huwezi kuvisema in public unajiaibisha!fact ipi? Kumbe kuwa na gari tena ya mkopo (liability) tayari mtu anawekwa kwa matajiri? Hata pango lake binafsi hana anaitwa tajiri? Kama kwa akili zako hizo ndio fact naomba nikuachie uwanja kwani vigezo vyako vya kupima utajiri viko so traditional. Na kwa maana hiyo tutaishia kuzunguka hapo hapo. Kama elimu hicho ni kianzio tu (japo yake ya makombe) ...okay what next???
sisi wala hatuingii huko ila nyie shabiki maharage ya mbeya maji mara moja ndo mnasambaza hayo na kumpaisha eti yuko juu...nasi tunawauliza fact za huo utajiri wake ila.mmebaki kujing'ata ng'ata. Ukweli mimi sina upande katika hili ila bila fact za kueleweka na sio hizi za kujiuma uma lazima nitawapinga tuhahahahaha ndo ushangae sasa, kila baada ya saa kuchungulia uturn mange kapost nn, kama anajashaua wanafuata nini huko? wivu tu unawasumbua, na wanayatamani maisha yake sana. wamuache miaka1000000000000000000000
Nimerud binamu , niambie Nani anakuvuruga tumpe dozi kwanza
Hahaaaaa! MORTAGE IS TOUGH FINANCIAL TOPIC! SHURTI UWE UNAKOPESHEKA BIBI! Hukopeshwi hivi hivi kisa umeenda bank basi wakukopeshe tu li PORSCHE.??? Thubutuuuuuuuu! Mbona wabongo kina mwajuma ndala ndefu wasio na karatasi za maana wasikope mi VOGUE, kina Chaga Bibi si wako USA na wao? Hata PINTO tu HAWAKOPESHEKI! Halooooooooooo! Tunarudi kwenye SHULE! Ukiwa na shule vitu kama hivi wala huwezi kuvisema in public unajiaibisha!
Bongo hii inhia bank na Bakhresa, atapewwa 1 B, wewe wakiwa GENEROUS kwa kuangalia ulivhonacho labda wakupe 10m.
UKUBWA WA MORTAGE UNAANHALIA KWANZA PROJECTED CASH FLOWS ZAKO KWANZA, SECURITY, FINANCIAL SOUNDNESS ULIYONAUO KWA KUANZIA NDO MAANA KAKOPESWHA LI JI PORSCHE,! CHEZEAAAA,!
Nawapa UMBEA NA SHULE YA NGUVU HUMU HUMU SIKU INGINE MKIBISHA MRESEARCH KIDOGO,!
Hivii Mange aliendaga kufanya ninii Dubaii,nikumbushe hebuu!!!!!!!!
MimiMBONGO YEYOTE HUKO NJE, MWAKA HUU KABLA HAUJAISHA AKOPE PORSCHE, AAMIE LA, AZALIE SINAI CEDARS, NA KUNUA STTOQLLER YA $2500 NA CL KADHAAA I WILL PHYSICALLY KISS HER ASS! NITAPANDA NDEGE KWA GHARAMA ZANGU BINAFSI GO N RETURN, MALAZI KILA KITU JUU YANGU, KUKUFATA LA TO PHYSICALLY KISS YOUR ASS MWA! Mwa! Mwa! 10times! LOLEST!
haijalishi unapata sh ngapi kwa mwezi ila unawekeza kiasi gani....lara usitumie nguvu nyingi kujustify kitu ambacho hakipo. Mikopo ulaya na US iko nje nje kwoa wenye vipato na sio ya foleni km ya bongo...watu wanakopeshwa wanalipa hata kwa miaka 10 (tena kwa salare ya mme kama wake ambae tunaaminishwa amesoma ndo rahisi kabisa). Ujanja wote huo kuweka gari kama moja ya vigezo vya utajiri umeniangusha. Gari ni basic need siku hizi.
fungua na wewe blog urodheshe mali zako na mashauzi weka utakavyo hakuna atakae kuuliza.
MimiMBONGO YEYOTE HUKO NJE, MWAKA HUU KABLA HAUJAISHA AKOPE PORSCHE, AAMIE LA, AZALIE SINAI CEDARS, NA KUNUA STTOQLLER YA $2500 NA CL KADHAAA I WILL PHYSICALLY KISS HER ASS! NITAPANDA NDEGE KWA GHARAMA ZANGU BINAFSI GO N RETURN, MALAZI KILA KITU JUU YANGU, KUKUFATA LA TO PHYSICALLY KISS YOUR ASS MWA! Mwa! Mwa! 10times! LOLEST!
Hahaaaaa! YA SINTAH YA MDOMO TU, HANAAAA! MI CV YAKE NINAYO SEMA NI PROPERTY YA QUALITY GROUP NITASHTAKIWA BUREEE, ALIKUWAGA SECRETARY WA MANJI IPO KWA HR NA VYETI VYAKE! Ndo maana hajawahi weka picha za graduation maisha yake hata ya 1st degree, au kuonesha tu kacheti! MANGE ALIWEKA MPAKA MATOKEA KITU CHA UPPER SECOND, LIST YA GRADUATES WA CHUO CHAO MWAKA HUO, PICHA ZA GRADUATION, HAINA UTATA KABISAAA!
Wewe unaye mropokea humu una blog au umeajiriwa kuwa msemaji wake.. Hivi wabongo mbona hamjielewi hivi mnalipwa au mnashonewa chupi za vitenge akija anawapa
Hapo tu ndipo ninapokuona uko kishabiki zaidi na sio fact kwani wote walosoma waliupload picha zao una ushahidi 100% kuwa hana MBA me ungenielewesha na ningeona uko kifact zaidi ungefanya reseach ya kuwa ni kweli hana MBA kwa kwenda au kutafuta list ya graduands wa chuo chake. La sivyo basi na yeye Sinta ana MBA ukipinga hana tuletee fact halisi, najua unauzoefu wa research coz ni MBA mwenzao.
Wewe unaye mropokea humu una blog au umeajiriwa kuwa msemaji wake.. Hivi wabongo mbona hamjielewi hivi mnalipwa au mnashonewa chupi za vitenge akija anawapa
Sintah SI ALIOMBA KAZI QUALITY GROUP AKAPELEKA CV YAKE KWA MKONO WAKE MWENYEWE BILA KUSHURUTISHWA NA MTU YEYOTE INAELEZEA ELIMU, EXPERIENCE, KILA KITU, AKAWEKA NA VYETI VYAKE.?? Sasa ushabiki gani jamani wakati mwenyewe alijiandikia UKWELI wa elimu yake akadhibitisha na vyetinvyake? Mbona mwanichimba nimseme binti Manoge wakati hahusiki hapa! MASTERS HAIKUWEMO PALE! Yaliyokuwamo siri yangu! KUNA SNITCH MMOJA NDO AKAISAMBAZA NA MIMI SNITCH THE SECOND NIKAIPATA,!Hapo tu ndipo ninapokuona uko kishabiki zaidi na sio fact kwani wote walosoma waliupload picha zao una ushahidi 100% kuwa hana MBA me ungenielewesha na ningeona uko kifact zaidi ungefanya reseach ya kuwa ni kweli hana MBA kwa kwenda au kutafuta list ya graduands wa chuo chake. La sivyo basi na yeye Sinta ana MBA ukipinga hana tuletee fact halisi, najua unauzoefu wa research coz ni MBA mwenzao.