Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
we ndo kinakuuma sifa za kijinga huyo hawezi kuniumiza chochote mana na maisha yangu kinachonishangaza ni nyie kumtafutia ucelebrity kwa nguvu kwangu wa kawaida hv unajua tajiri au unaropoka i wonder change your mentality cwez kuumwizwa na yoyote njoo na evidence basi za kuonyesha utajiri wake i need strong evidence sio kubwabwaja hapa action speaks louder than words

He he he umepanic.
 
HAHAHAAHAAA! GIRL YOU HAVE NO CLUE WHAT YOU ARE TALKIN ABOUT ON MORTGAGE FINACING, CASHFLOWS, INVESTING .??? Just google MORTGAGE FINANCING usome kidogo tu, sikunhizi elimu ni bureeeee!

MIKOPO ULAYA IKO NJE NJE WALA CREDIT ACESSMENT HAIFANYIKI.? UNAPEWA TU? Really? WAKATINWALE FINANCIAL SYSTEM YAO IKO ADVANCED AND COMPLEX KULIKO WASUGUA LAMI WA BONGO? MBONA WABONGO US WAKO WENGI NA PORSCHE HAWAJAKOPESHWA.? Si mikopo nje nje? BILLS ZILIVOWAJAA MPAKA UVUNGUNI WANA HIO LUXURY.? WANACHOINVEST HAO KINA CHAGA BIBI WASIWE NA PORSCHE USHUZI GANI.? Halooooooooo!

GARI UTAJIRI NDIO IT MEANS YOU HAVE SURPLUS INCOME YA KUFANYA LUXURY! Ndo maana kina Messi na Christian Ronaldo wanaendesha BUGGATI, LUMBORGHIN GALLARDO, ROLLS ROYCE,BENTLEY, PORSCHE vinhinevo wangejikokota na VITOYOTA USHUZI.!

YOU CAN NEVER SPEND WHAT YOU DONT HAVE,! Never!

kibongo bongo najua umekaririshwa madesa yako darasani na hapa ndo unaona uyamwage. Km nilivyosema kabla ushabiki ndo imeuweka mbele ILA huna hoja ya msingi zaidi ya kutoa povu (maamdishi ya herufi kubwa ni ishara ya panic kwani hata kwa small letters ungeeleweka)
Bye for now hadi hapo kutakapokuwa na fact za ukweli. Kwa chai hizi unazoweka naomba nikuache niendelee na wengine.
 
Hehehe watu wana kazi mjini...utashabikiaje kitu bila hoja?? He he mmeamua kuwa ass kisser eehh? ndo maisha mlochagua. Mshahara wenu ni zile ronya eehh? Zile rumbesa za mgawo wa bra, Ch..pi, na ronya zingine muangalie tu msijetoana roho.
 
Again Shamim haishi MAGOMENI I wonder where did u get those facts

Which aren't FACTS at all
Alikuwa anaishi sinza na baba Iqra, kunamkipindi kabla hajaolewa alikuwa pande za migo, kama kahama ni baada ya kuolewa!

YET STILL MBEZI BEACH NA LA COME ON,! PSHEEEEEEEEEW!
 
Hehehe watu wana kazi mjini...utashabikiaje kitu bila hoja?? He he mmeamua kuwa ass kisser eehh? ndo maisha mlochagua. Mshahara wenu ni zile ronya eehh? Zile rumbesa za mgawo wa bra, Ch..pi, na ronya zingine muangalie tu msijetoana roho.
BORA NIMSHABIKIE MBA SIO MAMAAAA POWDER, ! Tumechoka kukabwa huku detroit ya bongo Kino clain
 
kibongo bongo najua umekaririshwa madesa yako darasani na hapa ndo unaona uyamwage. Km nilivyosema kabla ushabiki ndo imeuweka mbele ILA huna hoja ya msingi zaidi ya kutoa povu (maamdishi ya herufi kubwa ni ishara ya panic kwani hata kwa small letters ungeeleweka)
Bye for now hadi hapo kutakapokuwa na fact za ukweli. Kwa chai hizi unazoweka naomba nikuache niendelee na wengine.
Hahaaaaq! HATA KWA KUKARIRISHWA I EARNED IT! Wewe hoja zako mpaka unaenda CONTRARY NA FINANCE BASICS.!!! .. Makubwaaaaaa! Mi POVU BADO SANAAAAAAA,! HAPA NATOA FACTS BACKED BY GOOGLE,! Somasoma lakini umuhimu wa CASHFLOWS KWENYE MORTGAGE FINANCING
 
BADO BIOGRAPHY YA MANGE FUMIKA MBAYAAAAA! Well na TUDIPLOMA NA TUMBEZI KWQ MBA NA LA HAHAAAAAAAAAAAA,! Kufananisha KIFO NA USINGIZI,! Badooooo sanaaaa!

Odinary Diploma VS MBA, REALLY.? Like seriously?
 
Bado niko na wewe kwa SHAMIM

u keep on telling lies
Hahahaaaaaa! Ya baba Iqra nayo ni lies, dar hotwire moderation nayo ni lies, ya moroseco niliyasitiri pia itakuwa lies? HAHAHAAAAAAAAA! HISTORIA HAIFICHIKI! Labda kilichonipita alikiclarify Mwanajamiif ni huto tu ORDINARY DIPLOMA VINGINE KAMA KABADILI NI KARIBUNI BAADA YA HARUSI,! Tena labda and i really doubt maana Kajala nae kabanana hapo hapo!
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa anaishi sinza na baba Iqra, kunamkipindi kabla hajaolewa alikuwa pande za migo, kama kahama ni baada ya kuolewa!

YET STILL MBEZI BEACH NA LA COME ON,! PSHEEEEEEEEEW!

Hoja yako haina uzito kwani Mange kabla ya kuolewa alikuwa anaishi LA? au alienda kusoma shule ikamshinda akarudi kulea kwanza na hayo maisha anayoishi sasa aliyaishi kabla ya huyo mzungu hapo bado haujatetea eti aliishi migo kabla iyo ishakuwa past..
Once again usielemee upande mmoja kama unataka kutoa fact na sio ushabiki.
 
Hahaaaaq! HATA KWA KUKARIRISHWA I EARNED IT! Wewe hoja zako mpaka unaenda CONTRARY NA FINANCE BASICS.!!! .. Makubwaaaaaa! Mi POVU BADO SANAAAAAAA,! HAPA NATOA FACTS BACKED BY GOOGLE,! Somasoma lakini umuhimu wa CASHFLOWS KWENYE MORTGAGE FINANCING

We hiyo Mortagage umeijua leo banaaa kwani ye ana kampuni au mumewe ana kampuni ya kuwauwezesha kufungua corporate account...

Maana kibongobongo Barclays na Stanbic kwa personal loan wanatoa Hadi million 70 tena unsecured scheme loan so si ajabu maana hizi bank hata US zipo na kama bongo zinamkopesha mtu hela hiyo tena bila hata security ya kiwanja wala nyumba tofaut na local bank kwa US si ajabu..

Usitishe watu na hizo theory za cash flow tulizo karirishwa NBAA kwenye CPA na reality huku bank wanatoa mikopo mikubwa bila dhamana na kama huyo mange alifanya kwenye hizo bank ukweli anaujua ila asemi atazidi kuwachota nyota anajua wengi hawajui wanashabikia vitu wasivyovijua. Speakn frm experience.
 
Hii kazi kama NALIPWA VILE! Hahahaaaaaaa! Mtanikosanisha bureeee na Shammy mutoto ya Morogoro! Ila namuaminia ana roho ya korosho kama Mange tu, wala hutu tu online gossip hatuwezi kuwasumbua!

Mdau ilieni PM sioni haya mwanamke mwenzangu mjamzito namkomali humu nataka azae ghafla, basi naacha jamani! ILA MNANICHOKOZA MWENYEWE NIKIHARISHA HAPA MNAINGIA MITINI KUJIKUSANYA AFU MNARUDI,!

SHOW IS OVER JAMANI! Shamim kajitahidi kwa uwezo wake alipoanzia mpaka alipofika, mwenye simkuti, waume ni wake, amuache nani aolewe na nani HAYATUHUSU OF WHICH IS 100% TRUE, ITS HER LIFE, HER CHOICES!

Pia Mange kwa Yatima kajitahidi sanaaa to find family, happiness, and make a life for herself. Sawa alikuwa golden cradle na silver spoon, ola kapitia challange nyingi maishani n she is still staying strong, amebadili blogging game bongo, amejisomesha, amefanya kazi international na ki
A siku anachallange fate yake mpaka raha!

TUFANYE YETU JAMANI ILA BABY SHOWER WAS NOT QUITE WHAT WE EXPECTED FOR HER STATUS
 
  • Thanks
Reactions: PLL
BADO BIOGRAPHY YA MANGE FUMIKA MBAYAAAAA! Well na TUDIPLOMA NA TUMBEZI KWQ MBA NA LA HAHAAAAAAAAAAAA,! Kufananisha KIFO NA USINGIZI,! Badooooo sanaaaa!

Odinary Diploma VS MBA, REALLY.? Like seriously?

MBA yes ni dili mjini hata Sinta anayo.... Hahaaaaa MBA my foot
 
Jamani mboona hamtaji huyooo anayesubiriwa kutoka nnje arud ni nnnani tujuzeni basi

We nawe ulikuwa wapiiii? Mdada wa US ni Mange Kimambi, ana mashauzi kama han*yi vileeee!
Kwa info zaidi tembelea blog yake ya U turn....yani hiyo blog kila anachokifanya anaweka picha, hadi akipiga chafyaaa anaweka picha...lol.
Bado kuweka picha akiwa anak*nya na akiwa anagegedwa.
 
Hoja yako haina uzito kwani Mange kabla ya kuolewa alikuwa anaishi LA? au alienda kusoma shule ikamshinda akarudi kulea kwanza na hayo maisha anayoishi sasa aliyaishi kabla ya huyo mzungu hapo bado haujatetea eti aliishi migo kabla iyo ishakuwa past..
Once again usielemee upande mmoja kama unataka kutoa fact na sio ushabiki.
BEEF LIKO CURRENT HAPO KABLA YA BEEF NI IRRELEVANT, ! SHAMIM KABLA HAJAOLEWA ALIKUWA ANAISHI WAPI.? Muangalie na upande wa pili! Hata Moni Finance kabla hajala mchongo wqnu finance manager hakuwa na wasifu niliotoa!
 
Hii kazi kama NALIPWA VILE! Hahahaaaaaaa! Mtanikosanisha bureeee na Shammy mutoto ya Morogoro! Ila namuaminia ana roho ya korosho kama Mange tu, wala hutu tu online gossip hatuwezi kuwasumbua!

Mdau ilieni PM sioni haya mwanamke mwenzangu mjamzito namkomali humu nataka azae ghafla, basi naacha jamani! ILA MNANICHOKOZA MWENYEWE NIKIHARISHA HAPA MNAINGIA MITINI KUJIKUSANYA AFU MNARUDI,!

SHOW IS OVER JAMANI! Shamim kajitahidi kwa uwezo wake alipoanzia mpaka alipofika, mwenye simkuti, waume ni wake, amuache nani aolewe na nani HAYATUHUSU OF WHICH IS 100% TRUE, ITS HER LIFE, HER CHOICES!

Pia Mange kwa Yatima kajitahidi sanaaa to find family, happiness, and make a life for herself. Sawa alikuwa golden cradle na silver spoon, ola kapitia challange nyingi maishani n she is still staying strong, amebadili blogging game bongo, amejisomesha, amefanya kazi international na ki
A siku anachallange fate yake mpaka raha!

TUFANYE YETU JAMANI ILA BABY SHOWER WAS NOT QUITE WHAT WE EXPECTED FOR HER STATUS

Haiwezi kuwa over jamani tupe facts za ukweli jamani au umeng'ang'ana anakopesheka lol hata akiba na acess bank wanakopesha so hata sinta alikopa akakopesheka hata milioni moja ila nayo ni mkopo.

Na issue na kupotea na kurudi sio sababu kumuogopa mtu fulani sema tu mtu unatingwa na issue nyingine ukipata muda inachungulia... Wengine humu ni housewifes wacha tuandaeandae ingaws umbea tunautaka lol!
 
MBA yes ni dili mjini hata Sinta anayo.... Hahaaaaa MBA my foot
Mimi NIMEJIRIDHISHA HANAAAA PASIPO SHAKA LOLOTE,! Wewe mtazamo wako tu utavojiridhisha its up to you! Ukipenda muone hata shammy anayo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom