"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Malaya ni malaya tuu, well ukiwa na mwanaume na anajua hali yako, na anakupenda atakupimia kadiri ya uhitaji wako, huku malengo mengine ya maisha yakiendelea, ila ukitaka upewe hela ndio usifiwe utaishia kuliwa kiboga kwa 7800

Hii ndio sababu wanawake wengi wanajiuza bila kujua wanauza K, huyu akimuahidi kikoba anakula, huyu gauni, huyu kodi, huyu pizza utasema kwao hali chakula
 
Mkiweka mahari kubwa tu, imekula kwenu πŸ˜…
Kwa kweli hatuna jinsi zaidi ya kukubali tu πŸ€—

Ndiyo maana Zamani ilikuwa unalipa Posa na mahari ndiyo unapewa Mke

Siku hizi mnaonja na kuonja kabisa, ili kumzuzua Binti yetu mnatumia hadi asali ili mtoto wa watu Kila saa awe anakuwaza wewe tu 😜
 
Hatujaonjana! Kasema hadi siku ya ndoa
 
Hatujaonjana! Kasema hadi siku ya ndoa
Afadhali Kwa kweli, maana Wazee tulishaanza kuwaza itakuwaje Siku ya Ndoa yenu wakiwatandikia shuka Jeupe kuangalia kama ipo ama haipo πŸ€—

Sasa tuna uhakika wa asimilia 100 kwamba yaliyomo yamo 😜
 
Punguani
 
Hata hawa wa humu wanachuuzana tu hakuna reality. Lakini kuna vichwa maji wanaingia mkenge.
 
Hatulalamiki hata kidogo, ila dynamics za maisha zimebadilika kidogo.
Hizo dynamics zibadilike kote sasa na siyo kwenye majukumu ya mwanaume tu, kama mnaamua kuchagua haki sawa basi na majukumu yawe sawa kwa wote isipokuwa yale ya kimaumbile tu, na kama mnaamua kuchagua mfumo dume basi timizeni majukumu yenu na wanawake watimize yao tofauti na hapo mtaendelea kuwalaumu wanawake tu hadi mwisho wa dahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…