Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Mkuu acha saundi na fiksi. LIKUD Alianza utopolo huu wakulazimisha watu wasipeleke watoto wao English medium mwaka huu.

Mwaka jana hadi mwanzoni wa mwaka huu nyuzi zake zilikuwa za lindi na mtwara.

Usituchukulie poa watu humu jamvin tuko makini kufuatilia mambo.

Uumbwaaa Chaliifrancisco
 
Mtu anapata mshahara wa 1M kwa mwezi...halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka...huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine....anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada...hapa lazima aishi maisha ya msongo wa mawazo kila ifikapo january.. stress za mikopo haziishi
 
Ameanza 2023 mkuu, sema 2024 ndio emeweka nyuzi nyingi zaidi.

Na Mimi huu ni Uzi wangu namba 2 nilishawahi kupost Uzi hapa kuhusu faida nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu ENGLISH mediums.
 
Hujagusia maendeleo yao kitaaluma na ubora wa elimu, unakagua madaftar ya watoto wanachosoma shuleni


English Medium schools ni money making scheme kwa wamiliki wa hayo mashule..standard ya elimu ni ileile....unapambana huku chini ili mje kujazana at university level...mkishapata degree zenu mnarudi mtaani kuzungusha bahasha. Kama mzazi unajijua huna biashara, makampuni au assets unazotaka mwanao/wanao waje wazisimamie au waziendeleze basi usijisumbue kumpeleka mwanao huko English Medium. Ni upotezaji wa fedha....hizo 4/5M unazolipa kama ada ya mtoto ili asome EM schools ni bora ukamfungulia fixed deposit account mwanao ili akimaliza masomo apate mtaji wa kuanzia maisha yake mtaani.
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Hongera sana mkuu. Watanzania wa hali ya kati wanao taka kujifananisha na matajiri & viongozi kusomesha watoto shule za EMs wanatakiwa kujua kwamba hao matajiri na viongozi huwa hawasomeshi watoto kwenye shule hizo kwa hela zao halali. Huwa wanatumia hela za wizi na ukwepaji kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…