Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

mimi mwenzenu wa kwangu niliona ni ana akili ya wastani toka msingi. nimeona aendelee kusoma kayumba na sekondari atasoma kayumba. pia nimemwandikisha dojo anacheza michezo boxing na karate
. akimaliza f4 aende jeshini anaingia na fani ya ngumi.
Safi sana mkuu. Wewe ni moja kati ya watanzania wachache sana wanao jielewa.
 
Hawa wanao force ndiyo wanasababisha hizo shule kushuka viwango sababu wanaongeza demand na kupelekea watu waone fursa na kuanza ku recruit waalimu wasio na uwezo
 
mimi mwenzenu wa kwangu niliona ni ana akili ya wastani toka msingi. nimeona aendelee kusoma kayumba na sekondari atasoma kayumba. pia nimemwandikisha dojo anacheza michezo boxing na karate
. akimaliza f4 aende jeshini anaingia na fani ya ngumi.
Dah....sio mbaya kama mzazi umefikiria mbali
 

Umeongea ukweli mtupu mkuu.
 
Kama hii ndio hoja yako kwanini badala ya kuwakazania kwenye kiingereza tusijikite katika kuwafundisha kuwa wabunifu ili wabuni vitu ambavyo vitawafanya watu wa mataifa mengine walazimike kujua kiswahili?
 
Hata mimi nilichukua uamzi huu. Masela wangu wananipongeza kila siku jinsi nilivyowazidi kete.

Unatema mshahara wako wote kulipia Nursery utakuwa huna akili.

Wacha walamba asali wafanye na kama una mpunga wa kutosha sawa. Ila kama unauza viwanja vya urithi na kuingia mikopo wewe ni Limbukeni tu.
Kabisa mkuu na ndicho watu wengi wanacho kifanya wanajistres bure
 
wanakutana wapi, wakati kila mtu anaenda shule yake? wenye A utawakuta Benjamin wakat wenye C utawakuta kerezange secondary
Sio kweli mkuu hutegemeana na kata aliyopo mtoto. Kama unaishi kwa mfano kata ya Makongo utapelekwa shule zilizopo kata ya Makongo. Wanacho kifanya walimu ni kuwapangia mikondo kulingana performance yao.
 

Mimi mapema sana. Siwezi umiza pesa kishamba hivyoo!
 
Mimi mwenzenu wa kwangu niliona ni ana akili ya wastani toka msingi. Nimeona aendelee kusoma kayumba na sekondari atasoma kayumba. Pia nimemwandikisha dojo anacheza michezo boxing na karate
Akimaliza f4 aende jeshini anaingia na fani ya ngumi.
haha umenichekesha sana 🀣🀣🀣
sema nimekukubali umeangalia mbali. ngoja nikopi mbinu yako maana mtoto wangu nimeiangalia sioni intelligent pipo naona kilaza. mama yake ati alitaka nipeleke shule ya english medium baada ya kupata kibarua gulf. nikamuambia wacha usenge. by the way wote mwisho wa siku wanakuja kufanana mbeleni kwenye kusaka ajira. na hawa wa medium wanakua mandezi wengi hawana ile kujitafutia spirit.
kama una mapesa ni kumpeleka mitaala ya international baccalaureate huko
 
Sio kweli mkuu hutegemeana na kata aliyopo mtoto. Kama unaishi kwa mfano kata ya Makongo utapelekwa shule zilizopo kata ya Makongo. Wanacho kifanya walimu ni kuwapangia mikondo kulingana performance yao.
sio kweli, mkuu wanaangalia ufaulu, Kibasila, Benjamini na zingine hawapokei c flat
 

Cha ajabu ni kwamba huko EMs watoto wanafundishwa na walimu ambao : πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1. Sio waingereza.

2. Kiingereza sio lugha yao ya mawasiliano ya kila siku.

3. Kiingereza sio lugha mama yao.

4. Kwenye maisha yao ya kila siku wanawasiliana kwa lugha ya kiswahili.

Hakuna mashiko yoyote kwenye hoja hiyo.

Kama ishu ni mtoto kujua kiingereza basi mpeleke Uingereza kabisa ili awe anazungumzia kiingereza muda wote.


As a matter of fact kama kiingereza ingekuwa ishu kama unavyo taka kuaminisha wewe basi waingereza na wamarekani wote wangekuwa na mafanikio.

Uganda na Malawi zingekuwa zimeendelea zaidi kuliko Tanzania.
 
haha umenichekesha sana 🀣🀣🀣
sema nimekukubali umeangalia mbali. ngoja nikopi mbinu yako maana mtoto wangu nimeiangalia sioni intelligent pipo naona kilaza.

mama yake ati alitaka nipeleke shule ya english medium baada ya kupata kibarua gulf. nikamuambia wacha usenge.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Ulitisha sana mkuu. Hela haitakiwi kutumika kizembe who kwa sababu ipo.
by the way wote mwisho wa siku wanakuja kufanana mbeleni kwenye kusaka ajira. na hawa wa medium wanakua mandezi wengi hawana ile kujitafutia spirit.
kama una mapesa ni kumpeleka mitaala ya international baccalaureate huko
 
sio kweli, mkuu wanaangalia ufaulu, Kibasila, Benjamini na zingine hawapokei c flat
Wanapokea watoto wa kata za Kariakoo tu. Wanapokea A na B na wenye mchanganyiko wa A B na C pia wanapokelewa.
 
Kama mzazi una hela ya kusomesha private schools basi mpeleke mwanao international school zile wanazosoma watoto wa vigogo achana na hizi za mitaala ya Nacte
ambazo mtoto anamaliza anaenda kusomea upolisi
Bora asome hizi Kayumba tu maana hizi English medium ni Kayumba zilizochangamka tofauti ni kiingereza na school buss
 
100% Fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…