Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Labda Kama mtu hana uwezo wa kulipa ada za private schools.
Kingereza cha wanafunzi wengi waliosoma shule za serikali huwa sio kizuri.

Kingereza ni lugha ya dunia na kinafungua milango ya fursa nyingi (hasa za ughaibuni).

Au nimeandika uongo wakuu.
Sasa kingereza wewe huwezi...mfundisha mwanao kweli,au ndo atakosa mahala pa kupractise
 
Labda Kama mtu hana uwezo wa kulipa ada za private schools.
Kingereza cha wanafunzi wengi waliosoma shule za serikali huwa sio kizuri.

Kingereza ni lugha ya dunia na kinafungua milango ya fursa nyingi (hasa za ughaibuni).

Au nimeandika uongo wakuu.
Kusoma shule ya private sio guarantee kwamba utajua fluent english. Kuna watu tumesoma nao advance, chuo na wamesoma mashule makubwa ila english yao jau. Kujua fluent english ni kichwa cha mtu. Wengi waliosoma hz private wana english ya kuandika. Ila ya kuongea kuna baadhi yao ni miyayusho.
 
100% Fact.
 
Kwasababu Mimi mdau wa elimu sitachangia chochote. Wacha nisome moments, ila ushauri wangu kwa wazazi wenzangu, "akili za kuambiwa.......!"
 
Wengi wao sasa hivi wako na presha ya kulipa ada mwezi wa kwanza, sisi ambao tumepeleka watoto wetu kayumba tunafikiria namna ya kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka
 
Hawajui wana wa abuse watoto wao. Hakuna kitu kinacho muumiza mtoto kama kuona mzazi wake ana stress.
Wazazi wengi wana stress, baada ya kusherehekea mwaka mpya wengi wanakuwa wanaongea wenyewe wenyewe kutokana na msongo wa mawazo, kufikiria mamilioni ya kulipa ada na kwenda kukopa sijui wapi, vikoba n.k

Wazazi msiteseke, mtihani wa taifa ni ule ule, aliyesoma kayumba sijui mabasi ya njano, na wakifaulu wataenda kwenye vile vile vyuo vyetu.​
 
Ni kweli kabisa mkuu.
 
Kwahiyo tulipe milioni 6 kwa ajili ya kingereza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii pesa aitumie kufanya mambo ya msingi, kwa ulimwengu wa sasa mtoto arithishwi tu elimu, bali mali, vyeo n.k
Angeitumia hii pesa kwa miaka 5 kuwekeza kwenye mashamba ya mpunga, si ajabu bidhaa yake ingeonekana huko duniani.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…