Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
10,508
Reaction score
23,368
Wakuu hamjambo!!?

Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya.

Kumtambua na kuwafundusha watoto wetu kuwa mwaka Fulani Kuna mwanamke aliwahi kuitawala Tanganyika ni kurejesha maumivu makubwa kwa sisi tuliopotelewa na ndugu zetu.


Vitabu vyote vikaondoe kabisa jina la Samia wakati wa kumrejerea kwa mazuri, nashauri aongelewe kwa mabaya kama mfano wa Rais aliyeuwa maelfu ya watanganyika wasio na hataia na kutoka hadharani kujisifu kuwa niliwaua ili wasimpindue.

Tukutane D9.
 
Back
Top Bottom