butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Wewe jamaa acha ushamba kila kitu ujamaa;tangu tuachane na ujamaa ni miaka mingapi na vizazi vilizaliwa baada ya ujamaa ni vingapi?Shida imeanzia kwenye mentality za kijamaa ambazo tumeasisiwa nazo ndio maana Hadi kesho mbongo anapenda kuajiriwa kuliko kujiajiri hata kama anapata Fedha kubws private
Shida siyo ujamaa Watanzania tuache uvivu,wizi na majungu!!
Mashirika mengi yalianzishwa wakati wa ujamaa sisi tumekuja kupoteana hapa kwenye ubepari uchwara!!