Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

Shida imeanzia kwenye mentality za kijamaa ambazo tumeasisiwa nazo ndio maana Hadi kesho mbongo anapenda kuajiriwa kuliko kujiajiri hata kama anapata Fedha kubws private
Wewe jamaa acha ushamba kila kitu ujamaa;tangu tuachane na ujamaa ni miaka mingapi na vizazi vilizaliwa baada ya ujamaa ni vingapi?
Shida siyo ujamaa Watanzania tuache uvivu,wizi na majungu!!
Mashirika mengi yalianzishwa wakati wa ujamaa sisi tumekuja kupoteana hapa kwenye ubepari uchwara!!
 
Tanzania haijaachan na kabsa imetengeneza hybrid ya ujamaa na ubebar hukohuko
 
Kwa hiyo waache kuzalisha bia na sigara ili wasiondoke na dola? Hebu niambie kisomo chako una elimu gani?

Nisije nikawa na bishana na mtu kasoma sociology au food nutrition!! Wqht a bizarre argument. Eti dola zinapungua!! Unataka dola za kufanyia nini?
 
Aloyekwambia umeachana na ujamaa ni nani? Hujui kitu kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…