Badili mtazamo wako kuhusu BMW

1. BMW hawana shape ya Noah/Alphard.
2. Mbadara wake uchukue X series ambazo ni SUV/SAV.
3. Au chukua wagons za 3 series.
4. Kwa mil 14 kupata BMW ni changamoto. Litakua used hapa Tanzania au bovu.

Nunua tu Alphard ni van nzuri sana.
1. BMW hawana shape ya Noah/Alphard.
2. Mbadara wake uchukue X series ambazo ni SUV/SAV.
3. Au chukua wagons za 3 series.
4. Kwa mil 14 kupata BMW ni changamoto. Litakua used hapa Tanzania au bovu.

Nunua tu Alphard ni van nzuri sana.

Nimekupata mkuu, shukrani.
 
Sasa Mshana Jr naomba ushauri wako kuhusu service ya BMW

1. Je service nangoja notification from car computer au nazingatia tu km?
2. Kuna haja ya kutafuta fundi specific wa BMW au hata mafundi wa kawaida?
3. Ni vitu gani hasa vya kubadilisha wakati wa service tofauti na oil? Hata huku Kuna kubadilisha filters?

Ni hayo tu ndugu mbadilisha mawazo, waweza ukawa sio fundi ila kutokana na uzoefu wa kuyatumia haya ukawa na majibu

NB: nafikiria ku enhance music system, je nikibadilisha redio ya gari ni replace na new Android radios haitasumbua mfumo wa compyuta ya gari
 
 
Badili tu radio haina shida
 
Nimebahatika kuhuzuria super cars launch ya Audi A8 na BMW M5.
Pia track experience ya Porsche panamera, ferari, mc claren and Iamborgn.

Mpaka sasa BMW namkubali sana, tena kwa wale wa drifting hapo ndo kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…