Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. BMW hawana shape ya Noah/Alphard.
2. Mbadara wake uchukue X series ambazo ni SUV/SAV.
3. Au chukua wagons za 3 series.
4. Kwa mil 14 kupata BMW ni changamoto. Litakua used hapa Tanzania au bovu.
Nunua tu Alphard ni van nzuri sana.
1. BMW hawana shape ya Noah/Alphard.
2. Mbadara wake uchukue X series ambazo ni SUV/SAV.
3. Au chukua wagons za 3 series.
4. Kwa mil 14 kupata BMW ni changamoto. Litakua used hapa Tanzania au bovu.
Nunua tu Alphard ni van nzuri sana.
Sasa Mshana Jr naomba ushauri wako kuhusu service ya BMW
1. Je service nangoja notification from car computer au nazingatia tu km?
Hapa inategemea na situation but ni vema kufuata maelezo ya computer ya gari
2. Kuna haja ya kutafuta fundi specific wa BMW au hata mafundi wa kawaida? Vema ukapata mafundi mahiri special wa BMW
3. Ni vitu gani hasa vya kubadilisha wakati wa service tofauti na oil? Hata huku Kuna kubadilisha filters? Mafundi watakushauri
Ni hayo tu ndugu mbadilisha mawazo, waweza ukawa sio fundi ila kutokana na uzoefu wa kuyatumia haya ukawa na majibu. Asante nadhani nimekujibu vizuri
NB: nafikiria ku enhance music system, je nikibadilisha redio ya gari ni replace na new Android radios haitasumbua mfumo wa compyuta ya gari
Badili tu radio haina shidaSasa Mshana Jr naomba ushauri wako kuhusu service ya BMW
1. Je service nangoja notification from car computer au nazingatia tu km?
2. Kuna haja ya kutafuta fundi specific wa BMW au hata mafundi wa kawaida?
3. Ni vitu gani hasa vya kubadilisha wakati wa service tofauti na oil? Hata huku Kuna kubadilisha filters?
Ni hayo tu ndugu mbadilisha mawazo, waweza ukawa sio fundi ila kutokana na uzoefu wa kuyatumia haya ukawa na majibu
NB: nafikiria ku enhance music system, je nikibadilisha redio ya gari ni replace na new Android radios haitasumbua mfumo wa compyuta ya gari
Womens= WomenBMW.......Bring Me Womens
Spear za BMW zimejaa tele mjini,tatizo letu ni kasumba tuliyonayo tu,Kulinunua sio tatizo,tatizo ni kulifanya liendelee kukaa barabarani, upatikanaji wa spea ni mgumu kwa bongo pia ni ghali,unaweza kuwa na pesa lakini ukakosa spea bongo mpaka uagize toka nje!!
Spear za BMW zimejaa tele mjini,tatizo letu ni kasumba tuliyonayo tu,
Hiyo gar au pk pk1litre kwa 15 km?
Bei yake inakuwaje?
Kumbe ata mimi nawez imiliki kama taarfa zako n sasahihiGari tena speed 240
Aisee...umetisha.Aghalabu = mara nyingi, often
Nadra = mara chache, rarely
Mijuu guu namuachia mwingine
Acha kabisa huyu mnyama halafu haishi fasheni kama [emoji158] jeansNimebahatika kuhuzuria super cars launch ya Audi A8 na BMW M5.
Pia track experience ya Porsche panamera, ferari, mc claren and Iamborgn.
Mpaka sasa BMW namkubali sana, tena kwa wale wa drifting hapo ndo kwao. View attachment 936910View attachment 936911View attachment 936918
hahahaha mungu anakuonaitakuwa umepita kwa wale jamaa wanaotoa kozi ya Kiingereza siku tatu
View attachment 686106ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na ......