Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

1. BMW hawana shape ya Noah/Alphard.
2. Mbadara wake uchukue X series ambazo ni SUV/SAV.
3. Au chukua wagons za 3 series.
4. Kwa mil 14 kupata BMW ni changamoto. Litakua used hapa Tanzania au bovu.

Nunua tu Alphard ni van nzuri sana.

Nimekupata mkuu, shukrani.
 
Sasa Mshana Jr naomba ushauri wako kuhusu service ya BMW

1. Je service nangoja notification from car computer au nazingatia tu km?
2. Kuna haja ya kutafuta fundi specific wa BMW au hata mafundi wa kawaida?
3. Ni vitu gani hasa vya kubadilisha wakati wa service tofauti na oil? Hata huku Kuna kubadilisha filters?

Ni hayo tu ndugu mbadilisha mawazo, waweza ukawa sio fundi ila kutokana na uzoefu wa kuyatumia haya ukawa na majibu

NB: nafikiria ku enhance music system, je nikibadilisha redio ya gari ni replace na new Android radios haitasumbua mfumo wa compyuta ya gari
 
Hapa inategemea na situation but ni vema kufuata maelezo ya computer ya gari
2. Kuna haja ya kutafuta fundi specific wa BMW au hata mafundi wa kawaida? Vema ukapata mafundi mahiri special wa BMW
3. Ni vitu gani hasa vya kubadilisha wakati wa service tofauti na oil? Hata huku Kuna kubadilisha filters? Mafundi watakushauri

Ni hayo tu ndugu mbadilisha mawazo, waweza ukawa sio fundi ila kutokana na uzoefu wa kuyatumia haya ukawa na majibu. Asante nadhani nimekujibu vizuri

NB: nafikiria ku enhance music system, je nikibadilisha redio ya gari ni replace na new Android radios haitasumbua mfumo wa compyuta ya gari
 
Sasa Mshana Jr naomba ushauri wako kuhusu service ya BMW

1. Je service nangoja notification from car computer au nazingatia tu km?
2. Kuna haja ya kutafuta fundi specific wa BMW au hata mafundi wa kawaida?
3. Ni vitu gani hasa vya kubadilisha wakati wa service tofauti na oil? Hata huku Kuna kubadilisha filters?

Ni hayo tu ndugu mbadilisha mawazo, waweza ukawa sio fundi ila kutokana na uzoefu wa kuyatumia haya ukawa na majibu

NB: nafikiria ku enhance music system, je nikibadilisha redio ya gari ni replace na new Android radios haitasumbua mfumo wa compyuta ya gari
Badili tu radio haina shida
 
Nimebahatika kuhuzuria super cars launch ya Audi A8 na BMW M5.
Pia track experience ya Porsche panamera, ferari, mc claren and Iamborgn.

Mpaka sasa BMW namkubali sana, tena kwa wale wa drifting hapo ndo kwao.
IMG_20181005_221856.jpeg
IMG_20181005_221117.jpeg
IMG_20181005_221530.jpeg
 
Back
Top Bottom