Badili mtazamo wako kuhusu BMW


Kuboresha kidogo maelezo, Neno aghalabu maana yake ni 'Mara nyingi'..
Mtoa ujumbe usikasirike. Tuko pamoja
 
BIGURUBE acha ulimbukeni bwana. Toyota is one of the most competitive car making company in the world( na kwa sasa inaongoza katika makampuni 10 mkubwa duniani ya kutengeneza magari)
  • 8th place: Honda Motor.
  • 7th place: Fiat-Chrysler.
  • 6th place: Ford Motor.
  • 5th place: Hyundai-Kia.
  • 4th place: Nissan-Renault Group.
  • 3rd place: Volkswagen Group.
  • 2nd place: General Motors.
  • 1st place: Toyota Motor.
wanazalisha gari zenye sifa tofaut kwa sababu tofauti. ulaya na marekani wanatumia Toyota itakuwa wewe tu mswahili wa hapa unajidai eti si magari.... huo ni ulimbukeni tu. labda uwe huzifahamu gari za Toyota.

katika gari imara duniani
20. Toyota FJ Cruiser
19.Lexus LX 570
11.Toyota 4Runner
6.Toyota Land Cruiser FJ 40
5.Toyota Land Cruiser Mkonga

number 1 is Jeep Wrangler,
Mercedes Benz G Class ikiw anamba 7

kama vile haitoshi kuna Toyota Crown Majesta ni moja ya magari ambayo ni ya kifahari







Hi ni Toyota Crown ya mwaka 2013
price
150 000 $

Top speed 250 kph / 155 mph

Speed from 0-100 kph 5.7 seconds

Power 343 bhp / 252 kW

bhp / weight
185 bhp per tonne

Displacement
3.5 litre / 3456 cc

Weight
1850 kg / 4079 lbs

halafu wewe mlalahoi tu huna mbele wala nyuma unakuja kusimama mbele ya wanaume unaponda magari ya toyota? we utawafanya watu wagundue kuwa hufahamu magari na una ulimbukeni. magari yanazidiana uzuri na thamani lakini kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ponda magari ya Mjapani hata siku moja. Japan wanauza magari all over the world. wanatengeneza magari kulingana na mahitaji ya watu husika. watu wa aina yako wakue sasa.

Unajua watu Kuna kitu hawaelewi!

Hakuna gari za Toyota Bali Kuna usafiri aina ya Toyota!

Magari ni km haya BMW, Audi, Volkswagen, Ford motors, Land Lover nk!
 
Mkuu GuDume.

Nimesoma maelezo yako yooote lakini licha ya kusifia usafiri wako wa Toyota sijaona mahali popote Ulipotaja kuwa hizo Toyota ni gari moja, umezungumzia mauzo na umaarufu tu.

Kuhusu kuwa ni #1 duniani Hapo ni uongo wa mchana kweupee.

Hadi kufikia December 2017 Volkswagen Group Ndio Ilikuwa Kampuni kubwa zaidi ya magari duniani ikifuatiwa na Hiyo Toyota!

Nakubalina na Ww Kuhusu Toyota land cruiser mkonga, ila nyingine zote ni mbolea tu ukilinganisha na gari za Euro au America.

Sina ulimbukeni wa magari, nilishamiliki sana hizo mbolea za Toyota, Baada ya kuanza kumiliki gari za German ndipo nilijua kuwa kumbe Toyota ni usafiri tu na sio gari!
 
bahati mbaya au nzuri mimi hata gari sina. sijawahi miliki tofauti na wewe ambaye ushamiliki nyngi tofaut tofauti mpaka ukagundua Toyota ni Mbolea.
sijaelewa uliposema kuwa hujaona popote niliposema hizo toyota ni gari moja... nifafanulie.

anyway.... hata ungesema toyota ni ya 3 bado ungegundua inastahili heshima yake.lakini nakupa link pia ikusaidie.
Top 10 biggest automakers in the world
so inawezekana zikawa zina badilishana kwa maana ya kuwa na Vokwagen wanampiku Toyota sikatai wakienda wanabadilishana. ila nachozungumza watu wenye kufahamu na waliomiliki au wanaomiliki magari kiukweli kweli wakisikia una watukana watengeneza magari kama Toyota au Nissan n.k watakushangaa sana na wanaweza kufikiria kuwa wewe ni limbukeni kumbe maskini unaweza kuwa na akili yako tu vizuri. ashakum si matusi. hizo unazosema ni mbolea wali zi categorize ni waungu katika top 20 yao. sasa kama unawabishia au wewe unajua zaidi hilo siwezi kukupinga maana najua waswahili ni wajuvi sana.
anyway.. mimi nakwambia hivi ili usiwafanye watu wagundue.ukikaa kimya hawawezi gundua. halafu nikupe hongera sasa wewe unamiliki gari za mjerumani tu kwa kwenda mbele baada ya kudundua Toyota si kitu. mimi nakukubalia kabisa... kwa wenye magari wanasema kuna tofauti. lakini kiuhalisia huwezi kuwa na toyota Verossa ukailinganisha hata na Toyota Crown. au Toyota Verossa/ Spacio ukailinganisha na BMW. hali ni uongo. Toyota wana gari za kumfaa kila mhusika ukiyaangalia yale ma kilimo kwanza huwezi fananisha na RAV 4. na ndo maana hata marais kadhaa wanatumia those cars kama ambavyo wengine wanaamua kutumia escalade au range rover.

 
Badala umjibu GuDume kwa fact na takwim kama alivyokujibu wewe unaendelea kuandika utumbo.
 
Unajua watu Kuna kitu hawaelewi!

Hakuna gari za Toyota Bali Kuna usafiri aina ya Toyota!

Magari ni km haya BMW, Audi, Volkswagen, Ford motors, Land Lover nk!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno iko kwa BMW
 
 
All over the internet watu watakuambia bila kupepesa kwamba Toyota ndio kampuni (na Japan ndiyo nchi) inayoongoza kwa kutengeneza magari reliable yanayodumu.

Wajapan wana highly evolved manufacturing na quality testing process. Wakitoa chuma ni chuma kweli hakikusumbui hovyo.

Pia ni minimalists na hivyo cost za gari zinakuwa chini kwasababu hawana unnecessary complications.

Inexpensive + Reliable - Perfect for the masses hasa waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…