Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Sawa mkuu maelezo yako mazuri sana,ila 5 series na 3 series nyingi sana kwenye magereji ziko juu ya mawe kulikoni?halafu kuna jirani yangu mmoja alikuwa na 3 series tena namba D,kila asubuhi lazima afungue bonet na kuweka maji kwenye radiator,sasa hili nalo likawa moja ya mambo yaliinifanya nizidi kuziogopa...
 
Kuna models hazikosi faults na hii sio kwa BMW tuu..
 
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] your request is my command Kasie

Yeeeeeeeeh mshana........

Wantega ujue...... ntafanyaje sasa na siri ndo nshaikwambia......

Just do it..... alafu nimekumiss. Ngoja nikae sawa maili moja itahusika.
 
Yeeeeeeeeh mshana........

Wantega ujue...... ntafanyaje sasa na siri ndo nshaikwambia......

Just do it..... alafu nimekumiss. Ngoja nikae sawa maili moja itahusika.
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] waiting
 
Aidha
1.wamiliki hawana hela
2.fundi wake magumashi
Kusema kila asubuhi lazima aweke maji sababu inaweza kuwa
1.radiator imetoboka
2.expansion tank imetoboka
3.hose pipe imetoboka
Sasa hivyo nilivyokutajia vyote vinapatikana hapa mjini hata mimi ukiniomba kesho asubuhi nakuletea.
 
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] waiting

Daaah hayo makopa kopa yananipa hamasa ujue....... au ndo umeyapulizia nanihii. ...... nihakikishe usalama wangu tuu, Kasie kaoga heheheheheee.
 
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] waiting
Wakuu Nje ya Mada kidogo...
Hivi gari za Singapore mnazionaje ukicompare na Japan??
Mi binafsi naona kama zina quality nzuri kwa muonekano wa pichani.ila nyie wajuzi sijui mna overall comments gani
 
Daaah hayo makopa kopa yananipa hamasa ujue....... au ndo umeyapulizia nanihii. ...... nihakikishe usalama wangu tuu, Kasie kaoga heheheheheee.
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
 
Wakuu Nje ya Mada kidogo...
Hivi gari za Singapore mnazionaje ukicompare na Japan??
Mi binafsi naona kama zina quality nzuri kwa muonekano wa pichani.ila nyie wajuzi sijui mna overall comments gani
Hazijachakachuliwa... Za Japan pia sio mbaya.. Ishu iko za Dubai
 
Siwezi kukubishia hata kidogo. "Kimfaacho mtu chake" na kiukweli ntakuwa mpuuzi sana kukubishia mshana. Una sababu za kusema hivyo nami sikatai kuwa BMW wana magari mazuri.nmemiliki BMW 330 ya mwaka 2002 nmekuja iuza mwaka jana september 2017 ni gari nzuri naikubali. Lakini siwezi sema Toyota ni takataka. Maana kwa sasa nina Crown Athlete S CC 3.5 ni gari ya tofauti sana na mark X ambayo nlikaa nayo miezi michache tu. So BMW nazikubal kama ninavyozikubali Benz pia.ila ujasiri wa kusema ni takataka ntatoa wapi maskini mimi? Ntatoa wap ndugu yangu mshana. Nissan sina uzoefu nazo so hapo no comment

Mnyama Hyundai sonata series...iwe sonata 3,4,au 5..sio mchezo..body ni ngumu kama chuma..ukifunga spea unasahau..halafu classic car miaka 10000 fashion yake haichok..angalia movie ya safe ya Jason Statham ameitumia..
 
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]

Yaaalaah kwa haya makopa kopa leo ntalala mwanana kama nimeogea maji ya chumvi ya mawe looh.

Yakurudie haya makopa mara kibao kibao.... mwaah!!
 
Yaaalaah kwa haya makopa kopa leo ntalala mwanana kama nimeogea maji ya chumvi ya mawe looh.

Yakurudie haya makopa mara kibao kibao.... mwaah!!
[emoji173] [emoji175] [emoji175] [emoji175] [emoji120] [emoji39] [emoji298] [emoji298] [emoji182] [emoji180] [emoji179] [emoji172] [emoji171] [emoji170]
 
Mimi nilidhan Nissan iko cheap kuliko Suzuki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…