Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wazungu hawajawahi beba maji kichwani? Hii kusema hawajawahi kuwa na shida ya maji napinga, wote tumepitia hatua hizi ila wao wametutangulia hatua kadhaa ndio maana mpaka leo tuko huku na ndoo za kichwani wakati hayo wameshayaacha toka karne ya 17/18 huko.Ifahamike kwamba misemo, nahau, methali na vitendawili, ni vitu vilivyotokana na utamaduni na mazingira ya mahali fulani.
Ni mara chache sana utapata mfanano wa methali, msemo au kitendawili kutoka lugha moja kwenda nyingine kwa Watu wenye tamaduni na mazingira tofauti.
Mfano methali mwenda tezi na omo marejeo ngamani, hii haieleweki kwa Watu wa bara kwasababu vinavyotajwa hapo ni mambo ya uvuvi.
Nikija kwenye msemo/nahau yako, hakuna msemo mfanano wa kiingereza kwasababu wao hawana shida hiyo ya maji kwa karne kadhaa.
Labda tuamue kuitafsiri kwenda kiingereza lakini sio nahau mfanano
Kwa mfano mfanano kwenye methali ni kama
Kawia ufike - better late than never
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako - The early bird catches the flies
Natumaini nimeeleweka kama mwalimu
[emoji3],asante mwalimu,kwahio kama wewe ni mkalimani hapo unafanyaje?Ifahamike kwamba misemo, nahau, methali na vitendawili, ni vitu vilivyotokana na utamaduni na mazingira ya mahali fulani.
Ni mara chache sana utapata mfanano wa methali, msemo au kitendawili kutoka lugha moja kwenda nyingine kwa Watu wenye tamaduni na mazingira tofauti.
Mfano methali mwenda tezi na omo marejeo ngamani, hii haieleweki kwa Watu wa bara kwasababu vinavyotajwa hapo ni mambo ya uvuvi.
Nikija kwenye msemo/nahau yako, hakuna msemo mfanano wa kiingereza kwasababu wao hawana shida hiyo ya maji kwa karne kadhaa.
Labda tuamue kuitafsiri kwenda kiingereza lakini sio nahau mfanano
Kwa mfano mfanano kwenye methali ni kama
Kawia ufike - better late than never
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako - The early bird catches the flies
Natumaini nimeeleweka kama mwalimu
Ni kweli hata wao wamepitia hizi changamotoIna maana wazungu hawajawahi beba maji kichwani? Hii kusema hawajawahi kuwa na shida ya maji napinga, wote tumepitia hatua hizi ila wao wametutangulia hatua kadhaa ndio maana mpaka leo tuko huku na ndoo za kichwani wakati hayo wameshayaacha toka karne ya 17/18 huko.
Mwalimu hapo sijaelewa, nifafanulie vizuri, TEACHER KONDE.
Utakapotaka tafsiri ya kijapani unistue?Wakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?
"Kumtua mama ndoo kichwani"
Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]
Ahsante
"to relieve mothers the bucket burden"Wakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?
"Kumtua mama ndoo kichwani"
Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]
Ahsante
Wa bomba la maji (Mwanza-Tabora+miji midogo midogo kando ya bomba)Mhindi yupi tena?
Kwa kingereza kilichokomaa tunasema
Ndio nilichosema utatafsiri moja kwa moja kwenda kwenye maana na sio nahau au msemo tena (communicative translation) kulingana na kinachotakiwa kusemwa mfano, We will ensure reliable water supply all over[emoji3],asante mwalimu,kwahio kama wewe ni mkalimani hapo unafanyaje?