Badili sentensi hii kuwa ya Kiingereza

Badili sentensi hii kuwa ya Kiingereza

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Wakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?

"Kumtua mama ndoo kichwani"

Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]

Ahsante
 
Ifahamike kwamba misemo, nahau, methali na vitendawili, ni vitu vilivyotokana na utamaduni na mazingira ya mahali fulani.

Ni mara chache sana utapata mfanano wa methali, msemo au kitendawili kutoka lugha moja kwenda nyingine kwa Watu wenye tamaduni na mazingira tofauti.

Mfano methali mwenda tezi na omo marejeo ngamani, hii haieleweki kwa Watu wa bara kwasababu vinavyotajwa hapo ni mambo ya uvuvi.

Nikija kwenye msemo/nahau yako, hakuna msemo mfanano wa kiingereza kwasababu wao hawana shida hiyo ya maji kwa karne kadhaa.
Labda tuamue kuitafsiri kwenda kiingereza lakini sio nahau mfanano

Kwa mfano mfanano kwenye methali ni kama
Kawia ufike - better late than never
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako - The early bird catches the flies

Natumaini nimeeleweka kama mwalimu
 
Ina maana wazungu hawajawahi beba maji kichwani? Hii kusema hawajawahi kuwa na shida ya maji napinga, wote tumepitia hatua hizi ila wao wametutangulia hatua kadhaa ndio maana mpaka leo tuko huku na ndoo za kichwani wakati hayo wameshayaacha toka karne ya 17/18 huko.

Mwalimu hapo sijaelewa, nifafanulie vizuri, TEACHER KONDE.
 
[emoji3],asante mwalimu,kwahio kama wewe ni mkalimani hapo unafanyaje?
 
Ni kweli hata wao wamepitia hizi changamoto
 
[emoji3],asante mwalimu,kwahio kama wewe ni mkalimani hapo unafanyaje?
Ndio nilichosema utatafsiri moja kwa moja kwenda kwenye maana na sio nahau au msemo tena (communicative translation) kulingana na kinachotakiwa kusemwa mfano, We will ensure reliable water supply all over
Au we have a serious campaign to supply clean water countrywide

Yani sentensi itategema na context iliyopo wakati huo lakini kinachotakiwa kueleweka na huyo wa kiingereza ni kwamba tuna mkakati wa kutatua changamoto ya upatakanaji maji
 
Back
Top Bottom