Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Hapo atakae wahi kuondoka na Joketi na Happy. Sizungumzi kwa chuki lakini mama hapendi watu wasiokua na staha katika majukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uadilifu ni zero kabsaa, miaka 10 hakuna kiongozi hata mmoja aliyepatikana kwa rushwa, jua kuwa kuna makubaliano flani ya kutoshitakiana pindi unapopatikana na uhalifu.Ingelikuwa na hazina kiasi hiki isingekuwa inahangaika. Hata jiwe alilazimika kukopa mawaziri toka nje ya ccm. Yaelekea ccm ukame wa watu weledi na waadilifu
Yes, umemsoma eeh! Eti wanasiasa uchwara, unajiuliza maneno ya kuongea yalikuwa yameisha? hivi wanashindwaje kumuiga waziri mkuu wetu? Sijawahi kusikia ameongea amemkwaza mtu au kuteleza au kutoa maneno yenye utata.Hapo atakae wahi kuondoka na Joketi na Happy. Sizungumzi kwa chuki lakini mama hapendi watu wasiokua na staha katika majukwaani
Wanajifanya wababe na wanaharakati. Wanaona wasiokua na mitazamo kama wao hawana nafasi. WajifunzeYes, umemsoma eeh! Eti wanasiasa uchwara, unajiuliza maneno ya kuongea yalikuwa yameisha? hivi wanashindwaje kumuiga waziri mkuu wetu? Sijawahi kusikia ameongea amemkwaza mtu au kuteleza au kutoa maneno yenye utata.
Uislamu umemkataa mwanamke kuwaamrisha wanaume. Yote haya kwa samia ni batili!Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana.
Ukiangalia kwa nje, wanaccm wengi walifurahia sana uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi na wamepigwa na butwaa baada ya kutenguliwa. Sasa unajiuliza ikiwa demokrasia ilifanya kazi ya kumteua iweje isitumike kumtengua, mpk inaacha malalamiko?
Hii ni ishara kuwa kuna kikundi cha watu wachache ama mtu mmoja (mwenyekiti) ndiye huamua nani awe ni nani ndani ya chama.
Pili, Jokate Mwegelo aliyeteuliwa Oktoba mosi 2023 kuwa Katibu wa UWT taifa, leo ametenguliwa na kuteuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM. Je, Jokate amepwaya ktk nafasi hii kwa muda mchache kiasi hiki? Hamkumchunguza kabla ya kumteua?
Pamoja na uteuzi na utenguzi wa leo, bado nafasi ya katibu mkuu UWT taifa haijajazwa. Hivyo muda si mrefu utasikia mtu anateunguliwa halafu anateuliwa kujaza nafasi ya UWT taifa.
CCM bado kunafukuta, tutaendelea kushuhudia teuzi na tenguzi ndani chama hiki kikongwe.
haki na maoni ya wachache bado yataendelea kuskizwa na kuheshimiwa kwa mujibu wa Sheria, japo si muhimu 🐒Ni matumizi mabaya ya fedha za Umma.
Hana sifa, kabebwa tu. Makonda hafai hata ujumbe wa mtaa
Anatafuta sehemu ya kukatia Roho.. Shida inakuja upizani nao hawaeleweki kabisa...Punda anakaribia kukata roho anarusharusha miguu
Lazima awe mwanamkeHiyo UWT si wangempa Makonda sasa,
Mapendekezo na maaumuzi ni ya "wakuu" peke yaoNadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana.
Kosa kubwa huanzia hapa.Mapendekezo na maaumuzi ni ya "wakuu" peke yao
Wajumbe hutumika kama "muhuri"
Uongozi wa kupasiana usitegemee jipya,CCM ina wenyewe kwa maana nyingine nchi inawenyewe lazima uende kwenye form,eti kuapa kuilinda katiba,?Msoga hana maamuzi, inchi ina viongozi.
Rais tunaye, Makamo tunaye , Waziri Mkuu tunayè na Katiba pia tunayo.
Kama kuna mapungufu tuwalaumu wao maana wameapa kuilinda Katiba na si kumlinda msoga
Tangu 2021 kidoti ameapishwa zaidi ya mara tano lakini hatujaona mafanikio yake kwani hakuna wengine ?Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana.
Ukiangalia kwa nje, wanaccm wengi walifurahia sana uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi na wamepigwa na butwaa baada ya kutenguliwa. Sasa unajiuliza ikiwa demokrasia ilifanya kazi ya kumteua iweje isitumike kumtengua, mpk inaacha malalamiko?
Hii ni ishara kuwa kuna kikundi cha watu wachache ama mtu mmoja (mwenyekiti) ndiye huamua nani awe ni nani ndani ya chama.
Pili, Jokate Mwegelo aliyeteuliwa Oktoba mosi 2023 kuwa Katibu wa UWT taifa, leo ametenguliwa na kuteuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM. Je, Jokate amepwaya ktk nafasi hii kwa muda mchache kiasi hiki? Hamkumchunguza kabla ya kumteua?
Pamoja na uteuzi na utenguzi wa leo, bado nafasi ya katibu mkuu UWT taifa haijajazwa. Hivyo muda si mrefu utasikia mtu anateunguliwa halafu anateuliwa kujaza nafasi ya UWT taifa.
CCM bado kunafukuta, tutaendelea kushuhudia teuzi na tenguzi ndani chama hiki kikongwe.
Anabebwabebwa tu kwasabb ya shangazi yake Jenista Mhagama. Hana lolote huyuTangu 2021 kidoti ameapishwa zaidi ya mara tano lakini hatujaona mafanikio yake kwani hakuna wengine ?