Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

Hapo atakae wahi kuondoka na Joketi na Happy. Sizungumzi kwa chuki lakini mama hapendi watu wasiokua na staha katika majukwaani
 
Ingelikuwa na hazina kiasi hiki isingekuwa inahangaika. Hata jiwe alilazimika kukopa mawaziri toka nje ya ccm. Yaelekea ccm ukame wa watu weledi na waadilifu
Uadilifu ni zero kabsaa, miaka 10 hakuna kiongozi hata mmoja aliyepatikana kwa rushwa, jua kuwa kuna makubaliano flani ya kutoshitakiana pindi unapopatikana na uhalifu.
 
Reactions: G4N
Hapo atakae wahi kuondoka na Joketi na Happy. Sizungumzi kwa chuki lakini mama hapendi watu wasiokua na staha katika majukwaani
Yes, umemsoma eeh! Eti wanasiasa uchwara, unajiuliza maneno ya kuongea yalikuwa yameisha? hivi wanashindwaje kumuiga waziri mkuu wetu? Sijawahi kusikia ameongea amemkwaza mtu au kuteleza au kutoa maneno yenye utata.
 
Wanajifanya wababe na wanaharakati. Wanaona wasiokua na mitazamo kama wao hawana nafasi. Wajifunze
 
Uislamu umemkataa mwanamke kuwaamrisha wanaume. Yote haya kwa samia ni batili!
 
Reactions: G4N
Mapendekezo na maaumuzi ni ya "wakuu" peke yao
Wajumbe hutumika kama "muhuri"
 
Msoga hana maamuzi, inchi ina viongozi.
Rais tunaye, Makamo tunaye , Waziri Mkuu tunayè na Katiba pia tunayo.
Kama kuna mapungufu tuwalaumu wao maana wameapa kuilinda Katiba na si kumlinda msoga
Uongozi wa kupasiana usitegemee jipya,CCM ina wenyewe kwa maana nyingine nchi inawenyewe lazima uende kwenye form,eti kuapa kuilinda katiba,?
 
Tangu 2021 kidoti ameapishwa zaidi ya mara tano lakini hatujaona mafanikio yake kwani hakuna wengine ?
 
Tangu 2021 kidoti ameapishwa zaidi ya mara tano lakini hatujaona mafanikio yake kwani hakuna wengine ?
Anabebwabebwa tu kwasabb ya shangazi yake Jenista Mhagama. Hana lolote huyu
 
Jokate hapo ni sehemu sahihi, Tena Jokate baadae aje awe waziri kabisa. Kule kwa wamama wampe mchaga mmoja... CCM msiwatenge wachaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…