Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,699
Reaction score
2,875
Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora.

Sifa za Mtumishi Bora ni:
1. Muwazi
2. Mchapa kazi
3. Mwaminifu

Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana.

Sifa za Kiongozi Bora:
1. Mtu wa Mfano
2. Muwajibikaji
3. Uthubutu wa kulinda mali ya Umma/ Taasisi

Hivyo ukipata kiongozi wa aina hii usimuache aende zake.

Rais samia kwa Muda mfupi alikaa kaonyesha ni mtu wa mfano kibinadamu na kiuongozi hili halipingiki kashapata Kura yangu 2025 ,uwajibikaji bado mapema.

Lakini shida kidogo ipo kwenye kulinda Mali za Umma ,hapa bado anakwama Kidogo Mali na Pesa zetu zinaliwa na kupotea sana, pesa ikitoka Billioni Moja itakayoenda fanya Kazi ni ni chini ya millioni 750 au chini zote hizo zinapotea njiani.

Kwa kifupi Mama anashindwa linda Mali, Kodi na Tozo zetu ipasavyo ,najua anapambana sana ila mafisadi wana mikono mirefu sana aongeze Nguvu tunao umia na ufisadi ni sisi wananchi wa Chini, unaweza waza tu hata kama hizo billioni 100 zimeenda kweli kwenye Mafuta.

Hivyo ana Kazi sana kwenye hicho kipengele na ni kigumu sana kukitekeleza.Lakini pia ndio kipengele kinachobadili maisha ya Wananchi.
 
Kama kuna Raisi atakae enjoy kiti cha Uraisi ni Mama samia, hana pressure yoyote hana makundi ya siasa hana la kupoteza.
 
Kama kuna Raisi atakae enjoy kiti cha Uraisi ni Mama samia, hana pressure yoyote hana makundi ya siasa hana la kupoteza..........
Kweli
 
Mama ana upiga mwingi sanaaa
 
Wala haupigi mwingi wala hanini anamaliza vingi mxiuuu kazi kujishaua
 
Mama asipambane Sana na ufisadi. Mafisadi yakiwa mengi ndiyo hela inasambaa Sana mtaani.

Ufisadi = Maisha bora kwa kila mtanzania
 
Kama kuna Raisi atakae enjoy kiti cha Uraisi ni Mama samia, hana pressure yoyote hana makundi ya siasa hana la kupoteza.
Yaan kwa kweli Hana atakae mwangalia vibaya katika utendaji wake maana hakuna aliemuingiza madarakani zaidi ya katiba
 
Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora.

Sifa za Mtumishi Bora ni:
1. Muwazi
2. Mchapa kazi
3. Mwaminifu

Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana.

Sifa za Kiongozi Bora:
1. Mtu wa Mfano
2. Muwajibikaji
3. Uthubutu wa kulinda mali ya Umma/ Taasisi

Hivyo ukipata kiongozi wa aina hii usimuache aende zake.

Rais samia kwa Muda mfupi alikaa kaonyesha ni mtu wa mfano kibinadamu na kiuongozi hili halipingiki kashapata Kura yangu 2025 ,uwajibikaji bado mapema.

Lakini shida kidogo ipo kwenye kulinda Mali za Umma ,hapa bado anakwama Kidogo Mali na Pesa zetu zinaliwa na kupotea sana, pesa ikitoka Billioni Moja itakayoenda fanya Kazi ni ni chini ya millioni 750 au chini zote hizo zinapotea njiani.

Kwa kifupi Mama anashindwa linda Mali, Kodi na Tozo zetu ipasavyo ,najua anapambana sana ila mafisadi wana mikono mirefu sana aongeze Nguvu tunao umia na ufisadi ni sisi wananchi wa Chini, unaweza waza tu hata kama hizo billioni 100 zimeenda kweli kwenye Mafuta.

Hivyo ana Kazi sana kwenye hicho kipengele na ni kigumu sana kukitekeleza.Lakini pia ndio kipengele kinachobadili maisha ya Wananchi.
Mnasifia mno upumbavu mpaka mnakera..,
 
Back
Top Bottom