Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Barabara Zote Kigoma zimeanza Wakati wa Magufuri.. Hayo unayoongea Ni uzushi Na uongo.Kabingo manyovu Magufuri,,Malagarasi uvinza enzi za magu na ukikumbuka alimpiga biti jafo Kwa Simu akiwa Hapo.
 
Acha uongo Hiyo barabara ilianza Wakati wa Magufuri,, Acha Zambi Si Ndio tuko Huku tunajua Kila kitu
Swala ni kuanza au kukamilisha?
Pilo Ujenzi wa lami Mkoa wa Kigoma ulizna na Magufuli au JK? Kigoma-Uvinza-Malagarasi alijenga baba Yako?

Hakuna kitu tangible alifanya Mwendazake kwenye Barabara Kwa miaka 5 Mkoani zaidi ya hizo maneno za kujifariji za eti alinza,miaka 6 alikuwa anafanya nini Cha maana kwenye Barabara? Nadiriki.kukwambia bila kusimamiwa hamna kitu.

Mwisho zhuku Mkoani Magufuli alianzisha na kukamilisha Barabara Moja tuu ya Mpanda-Tabora.

Kazi zinaendelea ,Kila siku ni miradi awamu hii 👇

View: https://youtu.be/1vx8inp1xHo?si=xBSPHnlV8h2Yh2d_
 
Kwa hiyo kaanzia Dar Hadi kubakiza hizo 51 km?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Arusha to simiyu ambayo pia inafika musoma ni lami tuuu boss ilianza kujengwa siku nyingi na inapitika
Acha uongo basi,taja hiyo Barabara ya Arusha -Simiyi.yenye lami
 
Kazi inaendelea huku 👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1707293092703854944?t=HaUYIUw4KcZX2CpnPT9UEg&s=19
 
Hii kazi ya Hayati baba Samia kapeleka miradi uko visiwani uko mwanzo mwisho magufuli respect alifanikisha jambo🙌
 
Kazi nzuri sana. Wakimaliza hapo wakajenge fasta barabara ya Uvinza hadi nyumbigwa kupitia basanza kisha Kasulu hadi Muyama kupitia ksbanga na msambara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…