Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Nitoe Ili iwaje,kwani Barabara nzima Hadi Kigoma Ina lami? Hata hizo zingine hapo Kuna vipande havina lami.

Wewe si ulitaka kujua kwamba kumbe unaweza safiri Mkoa hadi.mkoa na ukala vumbi some sections? Ndio hizo Sasa nimekuwekea.
Ni kwa sababu hiyo ni ya ndani ya mkoa ambayo haina lami.Kama ulimaanisha hata zilizoko ndani ya mikoa zinazounganisha wilaya basi weka kwenye mikoa yote.
 
Ni kwa sababu hiyo ni ya ndani ya mkoa ambayo haina lami.Kama ulimaanisha hata zilizoko ndani ya mikoa zinazounganisha wilaya basi weka kwenye mikoa yote.
Toa ujinga hapa,hiyo ni sehemu ya Barabara kuu ya T1 kutoka Tunduma-Sumbawanga-Mpanda-Uvinza-Kasulu-Kibondo-Mutukula.

Usiwe unaongea vitu usivyovijua na zingarua hili huwezi Toka Bukoba ukafika Kigoma mjini bila kula vumbi.
 
Maendeleo ni mchakato wa muda mrefu ulitaka amalize kujenga zote?
 
Wewe ulitaka tutawaliwe na Koo zipi Kwa majina na idadi? Ukomo wako ndio wa maana au? Kama kujenga Barabara sio jambo la maana Sasa wewe kwako la maana ni lipi?
Kama ni hivyo basi hatukuwa na sababu ya kuwaondoa wakoloni wsliotuachia Mv Liemba ambayo ndiyo tegemeo la wanakigoma kwa zaidi ya miaka 100! Na walijenga reli kwa kutembea kwa miguu toka Dar, Kigoma, Mwanza, Mpanda na Singida, pia waliunganisha miji kwa barabara na kutuachia Ikulu ya Dar.
Kumbuka Samia ni hivi karibuni alisema nchi tulizopata uhuru nazo zimeendelea sisi tunafeli wapi, wewe unaons lami ndiyo maendekeo!
 
Machawa kama nyie ndo mmesambazwa Kila mahari ila ukuu wa JPM hata usiposemwa na sisi utaimbwa na ndege
 
Njombe-Morohoro?
Au unamaanisha Njombe-Morogoro mimi naishi Dar es Salaam nasafiri hadi Makete ni lami tu.
Kwahiyo anayesafiri toka Dar mpaka Manerumango kwenye barabara ya vumbi apingane na wewe kuwa hajafanya lolote!
 
Machawa kama nyie ndo mmesambazwa Kila mahari ila ukuu wa JPM hata usiposemwa na sisi utaimbwa na ndege
Ukuu wa propaganda 🤣🤣 Onyesha Mikoa mliyounganisha na lami maana Samia atasema nilikuta Kigoma-Tabora hakuna lami nikaunganisha 😂😂

Na tuzo alipewa
 
Kuwa na Viongozi wa hovyo wenye bipaombele vyao badala ya bipaombele vya Wananchi ndio vimetufikiwha hapa.

Mwananchi gani anahitaji Sgr kuliko Barabara?
 
Naomba na status ya ujenzi ya barabara ya Tabora kwenda Mbeya kupitia Itigi ! Je bado kilomuta ngapi?
 
Naomba na status ya ujenzi ya barabara ya Tabora kwenda Mbeya kupitia Itigi ! Je bado kilomuta ngapi?
Bado za kutosha sana hiyo haiishi Leo Wala kesho ila section ya Mkiwa-Itigi Kuna mkandarasi.

Makongolosi-Rungwa-Ipole yupo Mwanzo huko ila ni wa Kuunga unga.
 
Kigoma Tabora ni kipande kidogo sana ndo vumbi.
Kigoma Kagera vumbi ni kipande cha Kasulu Kibondo tu.
 
Kigoma Tabora ni kipande kidogo sana ndo vumbi.
Kigoma Kagera vumbi ni kipande cha Kasulu Kibondo tu.
Hoja ni vumbi na vyote vilimshinda Mwendazake na mama anaenda kufuta vumbi.
 
Huo ni wajibu wa kiongozi yoyote aliye madarakani kuhakikisha huduma bora kwa jamii sasa asifiwe wakati ndivyo ilitakiwa afanye.
 
Acha ujinga chawa wewe. Huenda ni kinda hapo mungu akusamehe. Kama zimebakia km 51 jiulize hizo zingine nani kasimamia. Jpm amekua waziri wa ujenzi miaka 20 kabla hajakua rais na yeye ndie aliyesimamia ujenzi mkubwa barabara za lami nchi hii. Alipoanza jpm ilikua kwenda mwanza toka dar lazima upite kenya na uganda. Kama unampapatikia mama kua na adabu kwa wale tunaomuenzi jpm.
 
Wewe sio tuu mjinga Bali mpumbavu.Miaka 20 Waziri wa Ujenzi na ukawa Rais still ukashindwa Kuunganisha Mkoa Kwa Mkoa Kwa lami?

Wapuuzi kama nyie ndio mnaona ni kitu Cha maana ila ulichukua ratio hapo unaona ni berry failures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…