Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Rubbish gani Sasa,huu ndio ukweli hakuna kitu Cha maana alifanya Mwendazake kwenye Barabara Nchi hii badla yake Samia ndio ataweka historia.
Kajambe huko kama una ushuzi.
Jpm kitu nyingine wewe chawa.🤔😎
 
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.
Mwamba wewe andika ya kwako ila siyo kupambana na Mwendazake. Huku kwetu alijukana kama Terabyte brain.
 
Aiseee sijawahi kufikiri kuwa mpaka Sasa kuna barabara ya mkoa wowote Tanzania haina lami.
CCM ilaaniwe kwa uovu na wizi
Inaonekana ndugu yangu utembei kabisa ila kwa sasa bado maeneo machache kama vile Tabara/Kigoma , Mbeya/Singida kupitia Chunya, Mbeya/Tabora
 
Utakuwa unaishi Canada.Nyie mlikuwa mnaishi Kwa propaganda za Mwendazake.

Sasa Kwa taarifa Yako Barabara zifuatazo ni vumbi tupu.

Kigoma-Tabora
Mpanda-Sumbawanga
Kigoma-Mpanda
Morogoro -Songea
Mbeya-Tabora
Mbeya-Singida
Arusha-Musoma
Arusha-Simiyu
Njombe-Morogoro via Ifakara.
Mtwara-Masasi via Tandahimba
Morogoro -Lindi
Kigoma-Kagera

Hiyo ni Baadhi tuu ya Barabara kuu za Mikoa kwa Mikoa ambazo zimejaa mavumbi au Baadhi ya vipande Bado ni mavumbi.
Mkuu kwa Sumbawanga/Mpanda kuna Rami sio vumbi
 
Hujui kitu wewe,Kwa hiyo ukifika pale Kizi Hadi Sitalike au kibaoni hadi Sitalike Kuna lami? Ulijenga wewe?
Wewe ndio ujui kitu eneo lile aliwekwi lami kwa sababu ni mapito ya Wanyama/mazingira sio kuwa Serikali imeshindwa kuweka lami
 
Wakati mwingine muwe mnaacha porojo.hiyo njia kwa wengine tunaijua kuliko iliyeandikwa huo uchafu.barabara ameanza nayo jk akaja Jpm na sasa SSH na ikumbukwe kipindi cha jk mtendaji alikuwa Magu pia hata huyo SSH alichaguliwa na Magu sasa sijui hiyo gut ya kuandika huo upuuzi umepata wapi.
 
Hawa vichaa hata akija Rais mpuuzi namna gani watasifia wakisubiri teuzi, tatizo hafanyi kazi akili zinawaza kuteuliwa.
 
Wewe ndio ujui kitu eneo lile aliwekwi lami kwa sababu ni mapito ya Wanyama/mazingira sio kuwa Serikali imeshindwa kuweka lami
Upuuzi,Kwa hiyo Mikumi hakuna lami?

Arusha-Musoma hakuna lami inajengwa mle mbugani?

Mwisho Kuna mchina pale ameanza ujenzi section ya Kibaoni-Majimoto-Inyonga.

Hakuna Cha Wanyama sijui mbugha hiyo Barabara itajengwa yote Kwa lami hasa upande huo wa kutokea Kibao-Sitalike ila hii ya Kizi-Sitalike ndio itaachwa.
 
Back
Top Bottom