Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Kumsifia Makonda na style yake ya Uongozi ,ni dalili za Uchawa Mwandamizi!
 
Tatizo la hiki chuma Ni kwamba, bado Ni chuma ghafi (unrefined, uncultured, untrained)
Tatizo jingine Ni elim dunia yake Ni ndogo sana, anahitajika madrasatul El siasa.
Apunguze PAPARA na kuongea Sana..
MTU anaye ongea Sana sio tishio. Ogopa mkimya.
 
Acha Bangi mkuu😠😠😠 umezeeka tayari mzee baba.
Hakuna masrahi ya Taifa Kenge nyie
Mwaka wa ngapi mpo madarakani!?.
Mbona matatizo yoote ni mazao ya viongozi WA CCM!😁😁.
Unatuchefua na matapishi yako.
Mnaangamiza Taifaafu bado mnajinasibu uzuri mbulukenge nyie👃.
Acha BANGI mkuu,ningekuwa wewe,ingefikia nikaona aibu
Lakini kwa vile ni uzao WA KENGE KIJANI KIBICHI.Endelea kutuchefua
Siku vyombo vya usalama vitakapojitambua,viongozi wake watakapo ridhika na pensheni zao wasitegemee teuzi Tena,hakuna rangi mtaacha ona.
Ukimaindi fresh,usipomaind jirekebishe.
 
Angejisafisha kwanza maana ana kashfa mbaya sana mtu huyu na kuna tetesi mikono yake inanuka damu za watu, labda kama anasifiwa chuma kwa maslahi ya ccm na sio watanzania.
 
Makonda Hafai kuwa kiongozi katika nchi hii.Amelalamikiwa sana na mpaka leo anatajwa kutenda madhila mengi dhidi ya wananchi wenzie..amewahi kutajwa na Nchi kama Marekani kwamba anazuia haki za watu kuishi..kuzuia haki yangu kuishi manake mnaijua?? lakini kingine ni utofauti na Magufuli ..Yeye Magufuli alikua na maono na mipango mizuri sana ambayo ukimsikia huyu Makonda hana zaidi ya mtu wa kutishia watu ila hana mpango wala maono ni mweupee kichwani anaejipanga kutumia media kumpaisha aonekane anakubalika lakini hana lolote ndio mana hata Ubunge alipigwa vibaya sana...

Kama Socrates alivyosema Demokrasia itatuleta watu wa hovyo sana kushika madaraka na wageuke kuwa wabaya sana huyu Makonda ni janga linaloiva.
 
Ubishi wa mwanadamu hauwezi kuzuia mipango ya MUNGU

Mungu atakaloamua na liwe, ikiwa MKonda atakuwa, na awe, kupingana na Mungu ni kujichosha
Sijui Mungu gani, lakini Mungu ninayemjua mimi amempa mwanadamu uwezo mkubwa wa kujisimamia (utashi). Kuamua zuri na baya ni utashi wako.
Unapewa fursa ya kufanya maamuzi halafu unafanya vibaya kisha unamsingizia Mungu. Mungu wa wapi huyo?
 
Tatizo lako ni ukabila, hatumtaki kiongozi muuaji, mtekaji, mtekaji kama Magufuli na Makonda wake.
 
Nonsense!.....aina ya watu unaowaita vyuma hawawezi kuwaongoza watu wenye akili ya sasa(generation hii)hao vyuma walitakiwawaongoze miaka ya 80 kushuka chini ambako kulikuwa na watu wenye akili za kizamani(kama zako)

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Mwenyekiti asifanye uamuzi mgumu,mambo mengine tutasahihisha mbele ya safari;
Makamu Mwenyekiti-Polepole
Katibu Mkuu-Makonda
Naibu Katibu Mkuu-Ali Hapi
Katibu Mwenezi-Sabaya
Mama Kizimkazi akae atulie ikulu akipiga Jicho na kula vichwa tu!
"Huu mziki kuna watu wenye uraia pacha bubu,hatuwajui ila watakimbia kwenda uhamishoni"


Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Looh!! Bagosha!!

Hivi DAB amekuwa chuma??? Hivi hujiskii Aibu kabisa kwa bandiko lako hili?????
 
Sisi kama Taifa tukitawaliwa na hiko bumunda tutakuwa tumepotea! Ubaya halina hekima hata kidogo!
 
Maadui hawa ni maadui kweli kweli vita hivi ni vita vya kweli.

Umasikini
Ujinga.
Mafadhi

Mwalimu J k Nyerere 1961.
 
daah umekata pumzi kaka nimesoma cjaelewa
 
Binafsi namkubali Makonda kwa uthubutu wake na haogopi mtu. Yuko creative na ana maono yake. Nchi hii hatujitaji viongozi ambao hawana hata maono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…