Hulda-Tamarri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 1,412 Reaction score 1,669 Sep 11, 2022 #441 elly obedy said: Hiyo iko sana Dodoma vijijini, utakuta Mtu ana miaka zaidi ya 20 anakutambulisha kwa Baba yake mdogo au mjomba/ shangazi yake mwenye miaka 5. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣
elly obedy said: Hiyo iko sana Dodoma vijijini, utakuta Mtu ana miaka zaidi ya 20 anakutambulisha kwa Baba yake mdogo au mjomba/ shangazi yake mwenye miaka 5. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Sep 11, 2022 #442 Infantry Soldier said: Sawa mkuu. Wee ishi utakavyo lakini usivunje sheria za nchi wala maadili ya jamii uliomo Click to expand... Kwa hiyo kupata mtoto kunavunja sheria za nchi? Na hayo maadili ya jamii ni yapi?
Infantry Soldier said: Sawa mkuu. Wee ishi utakavyo lakini usivunje sheria za nchi wala maadili ya jamii uliomo Click to expand... Kwa hiyo kupata mtoto kunavunja sheria za nchi? Na hayo maadili ya jamii ni yapi?
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 15,892 Reaction score 16,476 Sep 11, 2022 Thread starter #443 SAYVILLE said: Kwa hiyo kupata mtoto kunavunja sheria za nchi? Na hayo maadili ya jamii ni yapi? Click to expand... Sifahamu mkuu
SAYVILLE said: Kwa hiyo kupata mtoto kunavunja sheria za nchi? Na hayo maadili ya jamii ni yapi? Click to expand... Sifahamu mkuu