Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo iko sana Dodoma vijijini, utakuta Mtu ana miaka zaidi ya 20 anakutambulisha kwa Baba yake mdogo au mjomba/ shangazi yake mwenye miaka 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo iko sana Dodoma vijijini, utakuta Mtu ana miaka zaidi ya 20 anakutambulisha kwa Baba yake mdogo au mjomba/ shangazi yake mwenye miaka 5.
Kwa hiyo kupata mtoto kunavunja sheria za nchi? Na hayo maadili ya jamii ni yapi?Sawa mkuu. Wee ishi utakavyo lakini usivunje sheria za nchi wala maadili ya jamii uliomo
Sifahamu mkuuKwa hiyo kupata mtoto kunavunja sheria za nchi? Na hayo maadili ya jamii ni yapi?