Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
Nitafurahi sana kuwa member wa jukwaa hiliMods mashauri sasa muweke na JUKWAA LA Watoto!
Sio lazima akili yako iwe kama yangu boss[emoji3][emoji3][emoji2960] kumbe mtoa mada ana weak facts kiasi hiki
Mama kuendelea kuzaa pamoja na watoto zake sio jambo sahihi kwa mtu mstaarabuNailed it matatizo ya kwake na sehemu aliyopo ana generalize kwamba ni tatizo la watu wote.
Mpe pole sana shemeji yangu...Kukosa maadili au kuongezeana umaskini. Wife wangu kasomesha wadogo zake mpaka sometimes alikuwa analia.
Inaonekana umekulia katika jamii iliyokosa maadiliAcha wivu mleta mada ......unajua uchungu wa mahari wewe.......na je utamu WA tundu?? Kama ujui tuache
Kama utawamudu sawa[emoji3][emoji3]kwamba unawaona wajinga na hawajawahi kuja kukuomba chakula Wala sehemu ya kuwalaza hao watoto. Wala hawajawahi kukuomba ada.
Any way hiyo ni kawaida ya watu ambao wanapenda kuiga uzungu na kujiona kuwa wameendelea kumbe wamecopy utamaduni wa watu wengine ambao unasababu wanazozijua wao. Lakini pia inawezekana hauna au hautegemei kuwa na kipato Cha kuwalea hao watoto THEN unajumuisha watu wote as if unauwezo Sawa na wao.
Kwa upande wangu nitazaa watoto nitakao wamudu kuwalea labda sababu zingine zitokee Ila siyo chini ya watano.
πππππmzee si yupo na mzee mwenzie ambaye ni bibi? Huyo baba ataweza kumtunza mtoto mpaka atakapoweza kujitegemea?Hapo mzee kweli alijitahidi π
. Watu hawajui tu hizi nyumba wazee wakiachwa peke yao huwa na upweke sana ila akiwa na katoto kakumuweka busy na kuipa nyumba maisha, wazee hufarijika sana
mhhhMm ni me na mtoto ni ke sasa hapo hakuna tatizo
Niambie kutokuwa sahihi kunatokana na Nini? Nipe sababu za kisayansi na kijamii.usione aibu kuzitaja kinagaubaga.Mama kuendelea kuzaa pamoja na watoto zake sio jambo sahihi kwa mtu mstaarabu
Huyo mzee hajastaarabika hata kidogoKabisaa.
Tena nashangaa sana hawa wazazi
Mpaka sasa mzee anamiaka 70 lakin bado anazaa
Mkuu, zaa kadri ya uwezo wako wa kuwatunza unavyokuruhusuBinafsi nikijaaliwa uwezo. Nataka watoto zaidi ya 30
aiseeKwa hiyo msibani waliaga watu wote kasoro wajukuu zake? Mengi alivyokua anampenda Roodney aache kuwataja wajukuu zake popote???
Kupangiana idadi sio sahihi mkuuHaya yatabaki kuwa maoni yako tu...
Kila mtu ataamua atakavyo.
Hii mbaya sana mkuuBado wapo wazazi wa namna hiyo..
Huku madongoporomoka kwetu kuna mwanamama amezaa sawa na mwanae baada ya kuolewa..na bado Sasa hivi kajibebea mimba nyingine.
Hiyo iko sana Dodoma vijijini, utakuta Mtu ana miaka zaidi ya 20 anakutambulisha kwa Baba yake mdogo au mjomba/ shangazi yake mwenye miaka 5.
SawaNilichosema ndicho sahihi
Waliostaarabika watanielewa ila wewe hauwezi kunielewa hata mara moja...Sio kulingana tu, hata akazidiwa kabisa na hiyo kwetu ndivyo ilivyo na wala hamna tatizo dogo wa mwisho kazidiwa miaka mingi sana na mjukuu wa kwanza wa mzee
Nafikiri hayo maadili umejitungia mwenyewe kichwani kwako
πππππmzee si yupo na mzee mwenzie ambaye ni bibi? Huyo baba ataweza kumtunza mtoto mpaka atakapoweza kujitegemea?