Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #201
Daaah noma sanaKweli haifai ni mwendo wa kufyatua mpaka menopause.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah noma sanaKweli haifai ni mwendo wa kufyatua mpaka menopause.
Maziwa unakamua tu kwa ng’ombe au mbuzi
Nyama ya kuku au bata bwelele
Nyumba unaamua ukate vyumba vingapi
Kijijini ni raha sana.
Unaona sasa hii changamoto nyingine mkuuHuyo mtoto wa pili wataka kumpata kibahati mbaya ama ushapata mume?
Na huyo mume itabidi umwangalie vizuri asije akala kuku na mayai yake maana ushasema mtoto keshavunja ungo tayari.
Huyo ni tumbo moja na baba yako?Mimi Shangaizi yangu kwa babu nimemzidi miaka 14 [emoji23]
Hapana! Unakosea kusema for everybody!!
Tuzae kwa mpangilio na uwezo! You can still have ten kids and afford to take care of all the necessities ikiwa ni pamoja na huduma bora kabisa za afya na elimu, malazi na chakula! Na sio bora huduma!!
Hahahahaaaaaa, mkuu umeona eeeh? Sio poa kabisa kwa watu wastaarabuHiyo haina shida sema haijakaa fresh. Kwa upande wangu na utu uzima huu kumuona bi.mkubwa na kibendi najisikia soni.
[emoji3][emoji3] aisee kwamba wakipiga mahesabu wanaona Mama akiendelea kuzaa tutakosa sehemu ya kumpelekea watoto wetuHizi kauli za kikoloni ziacheni huko, mnatawaliwa mpaka mnashindwa kufanya maamuzi yenu binafsi, kwani mke wangu kubeba ujauzito hata kama binti yake yake naye ana ujauzito shida nini?...
Sawa chief
Haya mambo uchaggani kwetu kawaida[emoji23][emoji23]Tuseme alizaa mtoto akiwa na miaka 18.
Sasa akiwa na miaka 40 binti ana miaka 22, sawa wote wanazaa sioni ubaya hapo.
Mmh hesabu yenyewe sijui nimepata.
WatotoVijusi...
sio rahisi ila mtoto atalelewa tu na kukua kama akiandaliwa mazingira bora na isitoshe ana ndugu zake wakubwa ambao kwa kiasi flani wataweza kumsaidia kifika pale anapostahili kufika
Vijijini ndio pahala panapoongoza kukosa ustaarabu na maadili ndio maana binti anaweza kuolewa akiwa na miaka 12...Katika vitu natamani maishani Basi Ni watoto wengi,, ingelikuwa nimezaliwa enzi za mabibi zangu, nikawa ktk hali nzuri kihuduma na afya watoto 12-15 ningewazaa...
Hahahahaaaaaa, mkuu umeona eeeh? Sio poa kabisa kwa watu wastaarabu
Umekulia katika jamii isiyojali staha wala maadiliNi sahihi tu!
Kama mwenyewe kaona ni sahih, na hakuna sheria yoyote iliyovunjwa basi wewe ni nani uone si sahihi..?!
mhhhUmeanza lini kiss and tell?
YaaapHhhhhh
Good pointHapana! Unakosea kusema for everybody!!
Tuzae kwa mpangilio na uwezo! You can still have ten kids and afford to take care of all the necessities ikiwa ni pamoja na huduma bora kabisa za afya na elimu, malazi na chakula! Na sio bora huduma!!
Uswahilini kibokoUswahilini ni dhambi kufunga kizazi. Hao uliozaa Mungu akiwapenda zaidi na wewe kizazi ushampa paka!
Wakurya wanaita "Nyumba ntobhu"Aisee..sijakupata vizuri. Siyo wanawake ndiyo wana hizo mila