Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Sio vijiji vyote, kuna vijiji vina umaskini wa kutisha.
Maziwa unakamua tu kwa ng’ombe au mbuzi
Nyama ya kuku au bata bwelele
Nyumba unaamua ukate vyumba vingapi

Kijijini ni raha sana.
 
Huyo mtoto wa pili wataka kumpata kibahati mbaya ama ushapata mume?
Na huyo mume itabidi umwangalie vizuri asije akala kuku na mayai yake maana ushasema mtoto keshavunja ungo tayari.
Unaona sasa hii changamoto nyingine mkuu
 
Watoto kumi unataka kufungua timu ya mpira?!
Hapana! Unakosea kusema for everybody!!

Tuzae kwa mpangilio na uwezo! You can still have ten kids and afford to take care of all the necessities ikiwa ni pamoja na huduma bora kabisa za afya na elimu, malazi na chakula! Na sio bora huduma!!
 
Hizi kauli za kikoloni ziacheni huko, mnatawaliwa mpaka mnashindwa kufanya maamuzi yenu binafsi, kwani mke wangu kubeba ujauzito hata kama binti yake yake naye ana ujauzito shida nini?...
[emoji3][emoji3] aisee kwamba wakipiga mahesabu wanaona Mama akiendelea kuzaa tutakosa sehemu ya kumpelekea watoto wetu

Kila nikiwauliza sababu za kisayansi au za kijamii za msimamo wao wanaishia kusema haifai tu
 
Tuseme alizaa mtoto akiwa na miaka 18.

Sasa akiwa na miaka 40 binti ana miaka 22, sawa wote wanazaa sioni ubaya hapo.

Mmh hesabu yenyewe sijui nimepata.
Haya mambo uchaggani kwetu kawaida[emoji23][emoji23]
Last born wa babu gangu kazaliwa 95. Ndo mjomba lakini[emoji23][emoji119][emoji119]
 
Ukiamua kuzaa uwe na mpango thabiti wa kutunza pia, ni jambo la ajabu kuzaa ukitegemea utatunziwa na wengine.
sio rahisi ila mtoto atalelewa tu na kukua kama akiandaliwa mazingira bora na isitoshe ana ndugu zake wakubwa ambao kwa kiasi flani wataweza kumsaidia kifika pale anapostahili kufika
 
Hapana! Unakosea kusema for everybody!!

Tuzae kwa mpangilio na uwezo! You can still have ten kids and afford to take care of all the necessities ikiwa ni pamoja na huduma bora kabisa za afya na elimu, malazi na chakula! Na sio bora huduma!!
Good point
 
Back
Top Bottom