Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #221
SponsorsNiwaite wababu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SponsorsNiwaite wababu 😂
Safi sana mkuuBinafsi mimi nisingezaa tena! Ningesubiri wajukuu!
Hao ningewafanya wanangu na pia kwa mzazi kupata Mjukuu ukiwa bado na nguvu basi ni kama baraka!
It’s like getting a second chance to create a whole human being again, kwa kutumia ujuzi na makosa ya zamani kufanya bora zaidi!
Zaa kwa stahaUSITUPANGIE,
Wengi wako single baada ya kuachwa au kufiwa.Sponsors
Ila kasema wazee (wanaume) ndiyo wanawaozesha vijana wao wadogo. Hiyo ya nyumba ntobhu naifahamuWakurya wanaita "Nyumba ntobhu"
Mkuu hivi wewe ni mkurya au mjaluoWakurya wanaita "Nyumba ntobhu"
Sisi waafrika bado tuna safari ndefu sana ya mafanikioNa huu ndio mzizi wa umaskini katika familia zetu nyingi!
Mtu tangu kabaleghe yeye anafanya kazi ya kuzalisha na kulisha kiasi kwamba hata muda wa kulea na kuwekeza zaidi hautoshi na rasilimali ni ndogo kuja kushtuka yuko na 50 years!..
WatotoMatofali
Sawa babaTuna jukumu la kujaza nchi! Na mkuu wetu wa nchi ameisha ridhibitisha hilo.
Mimi ninajua "Nyumba ntobhu" tu ambayo ni ya akina mama...Kwa makabila ya mkoa wa mara baba na mtoto wanaweza kutofautiana miaka miwili. How possible:
Poa mkuuSawa , 1999, tumeelewa umri wako
coach, maneno ya mwenye kushiba hayo!! mtoto ana raha yake asikwambie mtu; isitoshe kuna wimbi la wazazi wasiotaka au kupenda watoto wao kulelewa na mabibi siku hizi......ungelipata tabu na majuto.
Naona Sasa umeanza kujifananisha na samaki[emoji23][emoji23]
Ila usisahau huna asili ya samaki. Acha samaki aitwe samaki.
Watoto kumi unataka kufungua timu ya mpira?!
najua ni mbaya lakini hakuna mwenye guarantee ya kuishi cha msingi ni kumuandalia mazingira mazuri yaani hata usipokuwapo kazi iwe katika usimamizi tu na si matunzo kiujumlaUkiamua kuzaa uwe na mpango thabiti wa kutunza pia, ni jambo la ajabu kuzaa ukitegemea utatunziwa na wengine.
yani kuzaa unalinganisha na haja, hivi timamu wewe!! kitu kilchofNya upo unapumua na kunya unakishushaje thamani kiasi hicho!!!?Kujisaidia haja kubwa pia ni natural process. Je, unaweza kujisaidia mbele ya watoto wako?
unataka iweje kwa kuadopt? wewe unajua ugumu wa kujenga mapenzi kwa familia ya kuadopt!! sio rahisi kama unavyodhaniUongo mtupu, familia kubwa sio lazima iwe kwa kuzaa.
kwani kuzaa mwisho mingapiLakini alishatwambia tufyatue tu!
u are correctSio jambo zuri kuzaa ikiwa mtoto ako tayar kaisha pevuka, ila kuna mda inabid iwe hvyo
Mfano:- mtu nimezaa nikiwa na miaka 18 (ilikuwa bahata mbaya na sikutaka abortion) baada ya hapo nikasema sasa naitaji kurekebisha makosa, nikaamua kutulia kuanza kuandaa life langu kwanza ( nikarudi school) ndio nije nizae tena hapo nakuja kusema sasa naitaji mtoto wa pili nina miaka 35 mtoto wa kwanza kaisha vunja ungo tayari. Unazania nn kitatokea kwa kizazi hiki