Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Kukosa maadili au kuongezeana umaskini. Wife wangu kasomesha wadogo zake mpaka sometimes alikuwa analia. Akiwaambia wazee kwamba walichofanya sio fair wanchomjibu ni mungu atakuzidishia
 
[emoji3][emoji3]kwamba unawaona wajinga na hawajawahi kuja kukuomba chakula Wala sehemu ya kuwalaza hao watoto. Wala hawajawahi kukuomba ada.

Any way hiyo ni kawaida ya watu ambao wanapenda kuiga uzungu na kujiona kuwa wameendelea kumbe wamecopy utamaduni wa watu wengine ambao unasababu wanazozijua wao. Lakini pia inawezekana hauna au hautegemei kuwa na kipato Cha kuwalea hao watoto THEN unajumuisha watu wote as if unauwezo Sawa na wao.

Kwa upande wangu nitazaa watoto nitakao wamudu kuwalea labda sababu zingine zitokee Ila siyo chini ya watano.
Kama utawamudu sawa
 
Hapo mzee kweli alijitahidi 😀
. Watu hawajui tu hizi nyumba wazee wakiachwa peke yao huwa na upweke sana ila akiwa na katoto kakumuweka busy na kuipa nyumba maisha, wazee hufarijika sana
😀😀😀😀😀mzee si yupo na mzee mwenzie ambaye ni bibi? Huyo baba ataweza kumtunza mtoto mpaka atakapoweza kujitegemea?
 
Mama kuendelea kuzaa pamoja na watoto zake sio jambo sahihi kwa mtu mstaarabu
Niambie kutokuwa sahihi kunatokana na Nini? Nipe sababu za kisayansi na kijamii.usione aibu kuzitaja kinagaubaga.
Maybe hata Mimi sizijui ndiyo maana. Nimeshikilia msimamo wangu
 
Bado wapo wazazi wa namna hiyo..
Huku madongoporomoka kwetu kuna mwanamama amezaa sawa na mwanae baada ya kuolewa..na bado Sasa hivi kajibebea mimba nyingine.
Hii mbaya sana mkuu
 
Hii ni shida ya lugha tu, hakuna baba mdogo mwenye miaka 5.
Hiyo iko sana Dodoma vijijini, utakuta Mtu ana miaka zaidi ya 20 anakutambulisha kwa Baba yake mdogo au mjomba/ shangazi yake mwenye miaka 5.
 
[emoji3][emoji3]
Hii mada Kuna muda inachekesha Sana.
Yaani tunawafundisha maadili waliotufundisha maadili kwamba hawana maadili

Mbaya zaidi wengine wamezaliwa kwa njia hii hii au wazazi wao walizaliwa kwa njia hii hii then Sasa hivi inaonekana hawana maadili[emoji2960]
 
Sio kulingana tu, hata akazidiwa kabisa na hiyo kwetu ndivyo ilivyo na wala hamna tatizo dogo wa mwisho kazidiwa miaka mingi sana na mjukuu wa kwanza wa mzee

Nafikiri hayo maadili umejitungia mwenyewe kichwani kwako
Waliostaarabika watanielewa ila wewe hauwezi kunielewa hata mara moja...
 
😀😀😀😀😀mzee si yupo na mzee mwenzie ambaye ni bibi? Huyo baba ataweza kumtunza mtoto mpaka atakapoweza kujitegemea?

sio rahisi ila mtoto atalelewa tu na kukua kama akiandaliwa mazingira bora na isitoshe ana ndugu zake wakubwa ambao kwa kiasi flani wataweza kumsaidia kifika pale anapostahili kufika
 
Back
Top Bottom