Uchaguzi 2020 Bado naona Lowassa wa 2015 ni bora kuliko Tundu Lissu wa 2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ukweli nikua kwa mara ya kwanza CCM wamekutana na mpinzani anayewatikisa na aliyewaondolea mazoea yao ya ovyo ovyo
 
Ni haki yako ya kimsingi kuona hivyo, na endelea kuona hivyo maana hakuna sheria yoyote utakayokuwa umeivunja.
 
Kwa nini umekubali kushuka kiwango kiasi hiki?
 
Ukawa ile angepewa mtu kama Slaa ama Mbowe siasa za nchi hi zingekuwa nyingine.
 
Kura yangu simpi Magufuli awamu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…