Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
You are loserKimombo kilishindwa kumsaidia maadui zake wasimjeruhi pale Dodoma ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are loserKimombo kilishindwa kumsaidia maadui zake wasimjeruhi pale Dodoma ?
Ila Mungu akamsaidia kumponya na risasi zenu!!! Mbaya zaidi Mungu anaenda kumuondoa mtesi wake ikulu mwaka huuKimombo kilishindwa kumsaidia maadui zake wasimjeruhi pale Dodoma ?
Nakushauri usiongee hayo maneno mbele za watu ingawa nakujua wewe ni mjinga. Utapigwa maweMaadui wa lissu sio serkali Mkuu
Yohana, katika hilo natambua hata Lowassa mwenyewe hawezi kukubaliana na wewe. Kila kisingizio kitatafutwa msimu huu, pamoja na CCM toka 2016 kufanya kampeni za jukwani wao wenyewe kwa upande wa viongozi wa kitaifa na hata kuamini ya kuwa upinzani umekufa.Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
mjinga ni baabako mzazi akitaifisha maana yake inarudi serikalini kwa matumizi ya serikali kama kuwa ranchi au taasisi yoyote ya serikaliMjinga wewe!!
Jaribu uoneYaani watu wanipige mawe Kwasababu ya mgonjwa lissu ?
Sasa tufanyeje?? Mpe lowasa form piaKwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Kipi kinachokufanya useme nchi nzima ni Tundu Lissu tu? hebu njoo huku tunapoishi wengine pengine utaona utofauti.Weeeeee.. usilinganishe hao watu wawili. Nchi nzima sasa ni Tundu Lissu tu. Hapa Watanzania wenzangu tunaenda na Lissu. Huyu Jiwe sasa akapumzike kwao Chato huko, aangalie uwanja wa ndege na mbuga ile. Atupishe tujenge nchi na Lissu wetu.
Hata siku moja sijamwandika Mbowe, wewe huna siku usiyoandika jina la Lisu. Kwako Lisu ni kila kitu.Wewe unakunya bila Mbowe bwashee?!
Unataka Lissu anze kutetemeka mikono? Shindwa na ulegee. Hivi kale katabia alikosema Msukuma kuhusu huyu mtu wako bado anaendelea nako?Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Mnataka kumpiga tena risasi? Maana lililomo mioyoni mwenu,wauaji wakubwa nyieLisu ni hopeless
Hataamini kitakachomkuta oktoba hii
Umetumia muda wako vibaya!Lowassa ni zaidi ya Tundu Lissu Mara elfu kumi, huyu bwana ataaibika sana sijui atawaambia nini waliomtuma
Utakuwa ama huna uelewa au umejitoa akili!Lisu hatafikia hata kura za lowasa ukweli ni kwamba mwaka huu upinzani hawana sera wala mikakati ya kushindanisha na CCM zaidi yakuongelea personal issue na blaablaa tu unamsikiliza Lisu hotuba yake inaanza hadi inaisha analalamika tu badala yakutuambia utatufanyia nn tukikupa kura. CDM jiandaeni tu 2025 mwaka huu pigieni kampeni wabunge tu
Kwahiyo huyu wa sasa anamzidi yule yule wa 1995 aliyekuwa anabebwa kama mgonjwa?, Kwahiyo anamzidi yule wa 2015 aliyekuwa anapokewa kwa kudeki barabara?. Opposition parties zinahitaji kujipanga kwa njia mbadalaUkweli nikua kwa mara ya kwanza CCM wamekutana na mpinzani anayewatikisa na aliyewaondolea mazoea yao ya ovyo ovyo
Umetumia MB zako bila manufaa: hawa hawafananishwi bali ni mapacha wasiiofanana😂😂😂😂 kweli Lissu kawashika vibaya lumumba. Yaaani unamfananisha fisadi lowassa na shujaa aliyeponywa na Mungu risasi 16 Lissu?