Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Unataka aongee blue ocean strategy kama yule wenu wa Zanzibar ati blue economy? Mind you Lisu target yake na strategy yake inatarget walengwa waliochoka maisha. Na haya ndiyo size yao Walengwa.Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
wewe hiyo ya Lowasa unataka “narrative“ yako. Lisu anaijua anajua anacofanya