Uchaguzi 2020 Bado naona Lowassa wa 2015 ni bora kuliko Tundu Lissu wa 2020

Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Unataka aongee blue ocean strategy kama yule wenu wa Zanzibar ati blue economy? Mind you Lisu target yake na strategy yake inatarget walengwa waliochoka maisha. Na haya ndiyo size yao Walengwa.
wewe hiyo ya Lowasa unataka “narrative“ yako. Lisu anaijua anajua anacofanya
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Umemwaga maji ya moto shimoni, ngoja nungunungu watoke baru toka shimoni, jiandae kwa kupokea matusi toka kwa nyumbu hodari
 
Achana na Lowassa

Ile ilikuwa ni big mistake kwa chadema nadhani wamejifunza wamerudi kwenye mstari

Cha ajabu ACT Nao wameiga vile vile makosa ya chadema

Leo tunaambiwa mgombea wa ACT Yuko zake Dubai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watu hawako serious
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Lissu siyo size ya Lowassa
 
.. hapana.

.. Chadema wangekuwa wameruhusiwa kufanya siasa tangu 2016 mpaka sasa hivi, TL angekuwa hakamatiki.

.. pia EL angekuwa na afya yake kama alivyokuwa mwaka 2010 nadhani angewasambaratisha CCM mapema sana.
 
Hiv bwashee mbna mnateseka sana na huyu The Greatest
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania upinzani ndio umesimamisha mgombea pure wa upinzani, anayeijambisha vilivyo ccm na vibaraka wake na ndiye mgombea pekee ambaye uchoki kumsikiliza, kila muda anavyozidi kuhutubia ndivyo anavyoziteka hisa za wTu.

Lisu leo kule Ifakara amerusha turufu yake vyema kwenye swala la ardhi, akiingia madarakani huyu jamaa mafisadi wote wa ccm mliyojimilisha ardhi na kuacha wanyonge bila ardhi mtajamba cheche.
 
Mbona Lukuvi kila siku anawarudishia wananchi mashamba yao yaliyoporwa na mafisadi?!
 
Lisu sio bubu, 2015 ukawa walikuwa na mgombea bubu.
Huyo bubu alipigiwa kura nyingi tu pamoja na ububu wake na hadi leo inadaiwa kuwa ccm walifanya figisu ila kihalali bubu alishinda.

Kwahiyo utaona watu wana stress zao issue Lissu wala Lowassa hata wakiwekewa Nabii Tito watamsifu na kumpigia kura tu.
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Msaliti kwa historia yake haiwezi kumfanya kuwa bora kwa lolote
 
Huyo bubu alipigiwa kura nyingi tu pamoja na ububu wake na hadi leo inadaiwa kuwa ccm walifanya figisu ila kihalali bubu alishinda.

Kwahiyo utaona watu wana stress zao issue Lissu wala Lowassa hata wakiwekewa Nabii Tito watamsifu na kumpigia kura tu.
Kama itakavyotokea Oct. 28, lkn kumbua lowasa vyama viliungana lkn lisu ni one party tu.
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Ningekushangaa kama usingemtaja Lowasa kwani bila yeye watoto wako hawezi kunya!
 
Lowassa si alikuwa mamluki aliyepandishwa na CCM.
 
Huku kuchanganyikiwa

Badala yakuwalinganisha wanao pambana utoe maksi unalinganisha mchezaji na shabiki aliye jukwaani mchezaji wa zamani
TAL Atakuwa kamwaga petrol.
 
Back
Top Bottom